Binti Mtanzania aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa kazi ya siku 1

True
 
Mwenye nacho huongezewa....mama balozi..exposure aliipata huko.hongera zake Mungu amsaidie afike mbali zaidi
Kweli alie nacho huongezewa fikiria Baba mchimba chumvi,mama muuza genge utaenda ufaransa?
 
Huyo yupo under gency nilazima kuna parentage inaenda kwa agency. Though pesa itakuwa bado nyinngi. Hongera sana heriath paul
 
wakati natazama hiyo video,nimegundua body language ya binti mmoja wa kizungu(kasimama nyuma-kushoto) ni ya kumuonea "jicho la husda" huyo Harieth.
Black is beauty ...
na wao wanajua kua black is beauty ndo mana jicho flan la husda lazima litoke
 
Bora umeishia hapo hukufunguka zaidi.

Ama kweli lilia bahati na sio uzuri,kila nikimuangalia Herieth...
Basi tu.
Hongera my dear.
Wish you best of lucky.
 
Dahh Hongera zake kwa kweli alafu yupo simple, natural [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Mimi yanachonikera malimbukeni yakiendaga ughaibuni kwa nini huwa hayataki kutumia majina ya koo zao?!eti'Herieth Paul' mmxiuuuu[emoji34] [emoji35]
 
Unamfahamu Lupita Nyong'o? Unajua alicho wapa wazungu na kumpa umaarufu?

Mzungu si mjinga akupe maburungutu ya hela bila kunufaika na wewe

Nitajie mwanamtindo mwingine aliye wah kupewa kiasi hicho cha hela kwa siku moja
 
Ahsante sana pole pia nawe ndiyo matatizo ya kupenda siku nyingine kupenda kunasababisha ukosefu wa furaha kwa kiasi fulani.

Acha tu kaka,haya maisha hayako fair kabisa.

BTW...pole,naona tumenuniana kule 'nyumbani'
Sio mbaya tukapeana pole huku...lol
 
Ila kusema kweli binti ana heshima sana aisee. Halafu familia yao yote ni watu poa sanaaaa yaani wanastahili kwa kweli kuwa na binti mwenye mafanikio makubwa kiasi hiki tena ya haraka sana. Wakati mwingine wazungu wanasema "To be at the right place at the right time." Nyota zote zinajipanga kisha BOOM! mambo yamejipa unaona kila unachogusa kinageuka kuwa dhahabu.

Models kutoka Afrika wana vipingamizi vikubwa tu katika hii industries ikiwemo kuambiwa wana accent, rangi na wengine wakiambiwa wana "attitude" hivyo inanipa furaha kubwa kumuona huyu binti anapata mafanikio makubwa sana katika kipindi kifupi. Kinachonishangaza katika magazeti ya weusi ya USA sijamuona huyu binti wamuweke hata katika jarida moja labda siku za usoni anaweza kutokea kwenye Ebony, Essence na magazeti mengine ya weusi.

Acha tu kaka,haya maisha hayako fair kabisa.

BTW...pole,naona tumenuniana kule 'nyumbani'
Sio mbaya tukapeana pole huku...lol
 
[QUOTE="Mbalamwezi1, post: 18931853, member: 189]Mimi yanachonikera malimbukeni yakiendaga ughaibuni kwa nini huwa hayataki kutumia majina ya koo zao?!eti'Herieth Paul' mmxiuuuu[emoji34] [emoji35][/QUOTE]
Majina "rafiki" katika mabano husaidia, Diamond Platnumz, Harmonize n.k husaidia kutoka kibiashara. Naamini ukifanya google search utapata majina yote kamilifu kikubwa wasanii wajitambulishe wanatoka Tanzania na siyo Tz, Bongo au K'doni kama wanataka kuwa "rafiki wa google search" au "YouTube search".
 
"Ukishindwa kuzuwia kwa mikono kemea kwa sauti, ukishindwa kukemea chukia wazi".

Usishadidie maovu.
Sishadadii but my words are still there no one and i mean no one can do anything about it, kila mtu anaa maisha yake,na zaidi anatafuta pesa kila mtu ana njia yake ya kutafuta pesa
 
Unamfahamu Lupita Nyong'o? Unajua alicho wapa wazungu na kumpa umaarufu?

Mzungu si mjinga akupe maburungutu ya hela bila kunufaika na wewe

Nitajie mwanamtindo mwingine aliye wah kupewa kiasi hicho cha hela kwa siku moja
Mhhh...
Mkuu emb nidadavulie kuhus lupita inaelekea unajua mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…