Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

Attachments

  • fe2544b6-c5a3-4520-8286-a12e97b00608.jpeg
    43.7 KB · Views: 8
  • eadebaf2-00f8-4789-9058-4a87914ca47a.jpeg
    261.8 KB · Views: 10
  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 9
  • 410-e1582098328480.png
    511.8 KB · Views: 6
Atoe kwanza hiyo niqab kama kweli anataka haki maana hata akienda kwenye office za umma kudai haki
MF: police au mahakamani lazima atalazimika kuitoa au kuipandisha juu

Au ndio kama yale ya Lissu Shahidi wa kuficho kukaa kwenye kibanda 😅😅

Ajifunue tumuone tupaze sauti wanawake wenzie
Tupo hapa 💪👌
 
mbogamboga wana mbinu zilezile
Ndiyo wanachokiweza. Nchi imewashinda kuongoza, wamegeuka mafisadi kila sehemu wananchi wanateketea kwa umaskini wao wanachojua ni kuteka, kuua na kutafuta kashfa za bandia za kuwatupia wanaowakosoa. Bila shaka hii ni mipango la Mwingulu baada ya ile clip yake ya kweli anayokoroma kama trekta bovu kuonekena. Anataka kuchakachua aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…