Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,047
..unasema...
waliachiwa two days baada ya kukamatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..unasema...
waliachiwa two days baada ya kukamatwa
jamani wanze na jack wamejuana ktk magroup whatsapp na wanze aliwahi kumtembelea jack alipokuwa anaishi pugu.......... wanze alikuwa mtu wa bata sana ila kwa hili she is innoccent nakiri hajawakosea chochote hao wauaji ila jack ndo alimwita wanze toka baga kuja dar ili wakale bata ndo wakatekwa
I guess walikuwa wanamtaka jack peke ake ila kwakuwa kaja na mwenzake ndo wakaamua wawamalize wote
waliwaweka temeke for all that days huku wakitumia sim za walengwa kuwataarifu ndugu zao na baadhi ya clasmate wa wanze kuwa wasiwe na wasiwasi yuo salama
wanze alikuwa na comflict karibu na watu wengi kuanzia rafiki zake hadi ndugu zake (include me) ila kwa hili jack ndo kamponza kwani jack alikuwa mtu wa mishen town sana na pesa alikuwa nazo bila kujua anafanya kazi gani, evenif aliachaga clouds kitambo sana
REST IN PEACE cute odo MBELE YAKO NYUMA YETU
ni kweli ndg ila nakiri walimuua wanze kwa kumuonea kwan kariakoo yenyewe alikuwa haijui vzr kwao mwanza ila Jack ndo alimponza kwani jack alikuwa mishen town na ndo alomwita wakale bata
daah inasikitisha sana,mabinti wengi ni limbukeni wa mitandao,unakutana na mtu mtandaoni mnakua marafiki pasi kujua historia yake,anadeal na watu gani,tabia zake,ifike mahali hii mitanda tuifanye sehemu ya kujifunza na kubadilishana ideas na sio kutafuta ujamaa mitandaoni,dunia imebadilika
conflict za nini na watu?and why?
Kuna story iko kwenye gazeti la uhuru inayohusu kifo cha huyu dada na mwenzie jackline Masanja mtangazaji wa clouds fm kama sikosei alishawahi kutangaza kipindi cha njia panda cha clouds fm... Wanadai huyu jackline alikuwa anajishughulisha na madawa ya kulevya na Ashura alienda kuonana naye baada ya kuwa marafiki Facebook japo jackline naye alikutwa amekufa siku moja mbele baada ya kifo cha ashura na mwili wake umehifadhiwa Temeke Hospital.
daah inasikitisha sana,mabinti wengi ni limbukeni wa mitandao,unakutana na mtu mtandaoni mnakua marafiki pasi kujua historia yake,anadeal na watu gani,tabia zake,ifike mahali hii mitanda tuifanye sehemu ya kujifunza na kubadilishana ideas na sio kutafuta ujamaa mitandaoni,dunia imebadilika