Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kuhusu jack mahulwa masanja.. ngoja nikae kimya...maana naumia kila nikimkumbuka...
Kulikoni kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu jack mahulwa masanja.. ngoja nikae kimya...maana naumia kila nikimkumbuka...
Kulikoni kaka?
Wameua kwa kwa mkuu wa mkoa angekua hana ndugu mwenye cheo ingebaki historiaaa
Si kwamba amenilia vyangu ila mauaji mengi ya dizaini hii ukiyachunguza sababu za mauaji ndio kama hizi....
Inawezekana dada....kwani alijitangaza kuwa ni muathirika...??Huyu si yule aliyejitangaza ana HIV?
Nawaza tuu kwa sauti what if wauwaji walimwingilia kwa kumlewesha ama mambo kama hayo then mbele wakajua binti ameathirika !? Lazma wafanye hivi
Wanze ni mtoto wa dada yake na Meki Sadik mkuu wa mkoa wa Dar
Unataka uhakika mwingineee
nadhani hisia hizo zako tusizipe nafasi kuhusiana na utafutaji wa wahusika umechangiwa na kugusa familia ya RC..ila tuaminini kuwa hata wewe kama ni mlala hoi ukifanyiwa hivyo vyombo vyetu vya usalama vitakupigania kukamata watakao kufanyia hivyo.!!
Ukweli ndio huoooo
Inawezekana dada....kwani alijitangaza kuwa ni muathirika...??
huyu ni mtu amabye marehemu ashura aliweka profile picture yake, na akaweka comment hii (hv wew huwa huna kazi ya kufanya sitaji jibizana nawe sawa mbona shuhuri unayo yako yasha kuishia hebu pita kule basi dume kaa jike toooh
akijibu mu anaejiita Pedro )
![]()
Jamii forum
looh, ivo JamiiForum kuna Restaurant humu ??!! nimekufa kucheka !!
Pole yako Mkuu, Sina mbaaaaavu!!Umekufa!! umecheka!!.. R.I.P