Binti (Mwanafunzi wa Chuo) auliwa na maiti kufichwa

Binti (Mwanafunzi wa Chuo) auliwa na maiti kufichwa

Huyu Jack alikuwa muathirika na alijiunga na CLOUDS FM kwenye kipindi cha njiapanda ila alikuwa mjanja mjanja mno. imeongelewa kirefu kwenye kipindi cha njiapanda cha 30.11.2014

Kuhusu jack mahulwa masanja.. ngoja nikae kimya...maana naumia kila nikimkumbuka...
 
kuna mambo mengi sana hayajakaa sawa kutokana na hivi vifo vya wadada wawili, kadri siku zinavyozidi kwenda usalama wa binadamu umekuwa mdogo lakini pia inategemea sana na unajihusisha na nini na nani kwa namna gani au mazingira gani. tuwe tunakumbushana sisi kwa sisi, tunawakumbusha ndugu zetu majirani zetu watoto zetu kuepuka mazingira hatarishi au makundi au vitu hatarishi, mfano mkeo anakwenda harusi ya shoga yake hana uhakika wa usafiri anategemea lift harusi yenyewe ipo tegeta yeye anakaa mbagala rangi tatu sijui, mume hata pesa ya tax hujampa tax yenyewe hatari mida ya usiku sana si lazima kwenda mwambie abaki.
mtoto anakuomba aende bichi sijui na rafiki zake huwajui yeye mwenyewe hawajui vizuri hawana mtu mkubwa anayeongozana nao nawe unakubali tuu ni hatari,
mume kila siku unalewa unadrive ukiwa umelewa unapenda wanawake ovyooooo mwisho unakutana na wadada wakuweka madawa kwenye chuchu unalambalamba na kuishia kuibiwa na hata kufanyiwa unyama.

vijana wa mitandao kila kukucha kuatafuta marafiki kuweka habari zako mtu anakujua issues zako kama unaishi nae haya pia ni hatari. tuwe makini na kila kitu na kila mtu. maisha sasa si kama ya zamani. mambo mengine unaweza kuepuka kwa kujitahidi kutokufanya vitu fulanifulani.
vifo hivi vimesikitisha sana.
RIP Wadada
 
huyu ni mtu amabye marehemu ashura aliweka profile picture yake, na akaweka comment hii (hv wew huwa huna kazi ya kufanya sitaji jibizana nawe sawa mbona shuhuri unayo yako yasha kuishia hebu pita kule basi dume kaa jike toooh
akijibu mu anaejiita Pedro )

10494553_1467138323559254_6131141863713354008_n.jpg
 
huyu ni mtu amabye marehemu ashura aliweka profile picture yake, na akaweka comment hii (hv wew huwa huna kazi ya kufanya sitaji jibizana nawe sawa mbona shuhuri unayo yako yasha kuishia hebu pita kule basi dume kaa jike toooh
akijibu mu anaejiita Pedro )
 
Kwa hiyo ni watu wa sembe ndo wamemwaua. Inawezekana asee, watu wa sembe wana roho mbaya sana, si unaona mexico wanvyoteka na kuuwa, alafu wana tamaa na vidosho sana watu wa sembe, kisa jeuri ya ela za sembe...

Sembe na mauaji haya majitu ni mafree mason huenda?
 
huyu ni mtu amabye marehemu ashura aliweka profile picture yake, na akaweka comment hii (hv wew huwa huna kazi ya kufanya sitaji jibizana nawe sawa mbona shuhuri unayo yako yasha kuishia hebu pita kule basi dume kaa jike toooh
akijibu mu anaejiita Pedro )

Huyu atapata misuko suko sana hata kama hausiki ila kwa mazingira haya marehemu anaonekana alikuwa mtu wa mahaba ya kutendana eeh?
 
Back
Top Bottom