Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
unafanya nini nyuma ya marehemu?
hahah namaabisha ye ametangulia si tutafata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafanya nini nyuma ya marehemu?
haa jamani binadamu tumekuaje? hivi wanapata faida gani sasa?
Ndio binam wamempiga halaf hana nguo wamemfunika na shuka,nilikutana na huyu binti mwaka huu mwanzoni kwenye hitma ya bibi yake,niliongea nae sana mchangafu mwenyewee,,
Meck Sadik ni mjomba wake
Kwenye wall yake ya facebook amekuwa akipost jumbe zinazoonesha hakuwa na wakti mzuri na boyfriend or so... Inawezekana ni wivu wa mapenzi mtu wake akapanga namna ya kumkomoa. Kuna post ingine humu kwamba rfki yake wa facebook alisisitiza sana waonane, so kuna mipango hapo. Pia kuna post humu kwamba na rafiki yake huyo wa facebook naye kauawa, so wauwaji walipanga

View attachment 204612
Binadamu tumekua zaidi ya wanyama wakari,mara house girl kamkanyaga mtoto,mara huku msichana kanyongwa.
alitumia jina gani fb
Ahsante nimeona, jamani wanaume mna roho mbayaaa
umalaya kitu kibaya sana