nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Nimesoma mahalI kuwa alienda date mliman city...huyo mtu walijuana Facebook na ndo mara ya kwanza kwenda kumeet...jamani blind date sio nzurii mabinti....nna shoga yangu anapenda sana blind date ...anatamaa
Sasa blind date hata kama ni mshirikina...kulikuwa na sababu gani ya kurusha picha mtandaoni...
Huyu blind date atakuwa katumwa...uchunguzi wa kina ufanywe...