Binti mwenye penzi la siri nzito

Ujue mkuu,
Wanawake wengi wakidate na divorced man huwa wanakua na tahadhari Sana na hisia zao.Maana mnakuaga na visiran sana Nyie[emoji4]
 
Ujue mkuu,
Wanawake wengi wakidate na divorced man huwa wanakua na tahadhari Sana na hisia zao.Maana mnakuaga na visiran sana Nyie[emoji4]
Mwanangu kweliiiii.....usiombe uwe divorced man kuna mda naona ka nawatesa ivi
 

Ulitaka rafiki yake wa karibu ajue mahusiano yenu ili iweje sasa? Yeye anamjua rafiki yake kuliko wewe unavyomjua. Cha kukushauri wewe, tafuta kumjua yeye tuu

Kama sio mzoefu kwenye mambo ya (X) na hilo limekupa ukakasi japo ana kuhandle vizuri hapo ni wewe kuamua
i. Kumpa ruksa akatafute uzoefu ili akupe unachokitaka au
ii. Kumwacha ukatafute mwenye uzoefu ili upate unachokitaka au
iii. Kumpa uzoefu wa kile unachotaka wewe

Wanaume sijui mnakuaje siku hizi!? πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Ogopa sana Mtu yeyote msiri kupita kiasi, anaweza kukuchinjia baharini kimya kimya tena kipuuzi sana huku unajiona.
 
Nataka nibaki nae hapa kitaa ili X aumie vizuri

Nilijua unatafuta mwanamke kwa sababu unamhitaji wa kuwa nae kwenye maisha lol
Kama unakua na mwanamke ili umuumize X angalia sana usije kujiumiza wewe mwenyeweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Wanaomjua wanamkubali kinyamaa yaani hata first time ukamuonesha MTU mzima lazima amkubali wasi wasi wangu ni namna anavyoendesha mapenzi kwa siri ndo mama naogopa pengine tumepagwa wengi
Mtego huo
Usipokuwa makini lazima unaswe
 
Basi ntachagua namba tatu bi Dada.... Ngoja ntulie nae
 
Ogopa sana Mtu yeyote msiri kupita kiasi, anaweza kukuchinjia baharini kimya kimya tena kipuuzi sana huku unajiona.
Nawaza saaana hilo maana anamazingira ya kuniaminisha ametulia sa nsije nka fall alafu nkangukia chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…