Binti mwenye penzi la siri nzito

Binti mwenye penzi la siri nzito

Nilijua unatafuta mwanamke kwa sababu unamhitaji wa kuwa nae kwenye maisha lol
Kama unakua na mwanamke ili umuumize X angalia sana usije kujiumiza wewe mwenyewe😅😅😅
Nataka vyote bana
 
Ogopa sana wanawake 1: wasio na marafiki hata wa kike 2: wasiri,maana hapo unaweza ukakuta mpo zaidi ya 20 na hamjuani
 
Anakusoma kwanza km unamfaa ,akiya expose mapema mpnz yenu alafu mkiachana utamuharibia cv
 
Wasalaam;

Katika harakati zangu na changamoto za mambo ya ndoa si nikalengeshwa bwana si unamuona binti flani hana MTU mcheshi, mwenye adabu, anapendwa na kila mtu na wa mama wengi wangetamani watoto ama ndugu zao wa kiume wamuoe.

Nilipozitazama zile sifa nikajiridhisha ni za kweli. Kidume nikajitosa nika mwaga Sera kumbe mtoto alikua ananitamani kitambo jinsi nilivyokua naishi na x wife wangu.
hapakua na hiyana zaidi ya kusema yes tena big yes.

Tumeanza mahusiano nimegundua ni msiri saana anaogopa hata rafiki yake wa karibu kujua uhusiano wetu.

Nimeshtuka mpaka nawaza pengine ndo mana anasifika ametulia au ni vip hata sielewi.

Anajua Ku handle mwanamume vilivyo japo anaonesha si mzoefu saaana kwenye mambo yetu (X) sa sielewi ntashushiwa kitu chenye ncha Kali tena kama alichonichoma nachoX wife wangu au nitulie na huyu anaesemwa vizuri na ulimwengu mzima japo ana mapenzi ya siri mnoo?
Hao wakimya, wanaosifika Wana adabu...... Kua makin usijiingize kweny ndoa nae haraka .... Mchunguze kwa kina kirefu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hawa huwa wanatembeza kwa siri sana hawezi kukutambulisha kwa mtu yeyote hasa wa kike . Na wanawananga sana mtu anayekuwa naye wana asili ya uchawi 😀
 
Back
Top Bottom