Binti mwenye penzi la siri nzito

Nilijua unatafuta mwanamke kwa sababu unamhitaji wa kuwa nae kwenye maisha lol
Kama unakua na mwanamke ili umuumize X angalia sana usije kujiumiza wewe mwenyewe😅😅😅
Nataka vyote bana
 
Ogopa sana wanawake 1: wasio na marafiki hata wa kike 2: wasiri,maana hapo unaweza ukakuta mpo zaidi ya 20 na hamjuani
 
Anakusoma kwanza km unamfaa ,akiya expose mapema mpnz yenu alafu mkiachana utamuharibia cv
 
Hao wakimya, wanaosifika Wana adabu...... Kua makin usijiingize kweny ndoa nae haraka .... Mchunguze kwa kina kirefu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hawa huwa wanatembeza kwa siri sana hawezi kukutambulisha kwa mtu yeyote hasa wa kike . Na wanawananga sana mtu anayekuwa naye wana asili ya uchawi 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…