Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001

Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.

Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.

Makofi kwake
 

Hayuko vibaya kwa hakika katupeperushia vyema bendera yetu ikiwamo 😁😁
 
Wanakuaga wamoto hawa...halaf vere red
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…