Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Wameniruka. Nahisi kuna ka upendeleoAna rangi nyeusi ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameniruka. Nahisi kuna ka upendeleoAna rangi nyeusi ya kutosha
Hatari sana sheikh..........tunaomkumbuka GiLesI MtIkIsIKo wa Bujibuji tukuje tumchokoze pris.
GoldView attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.
Nyakim abajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.
Makofi kwake
Black pearlGold
Naomba namba yake ya simuView attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.
Nyakim abajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.
Makofi kwake
Ngoja nii GoogleNaomba namba yake ya simu
Alisema ana tako linataka kudondoka, tako laini analazimika kuvaa skin tight 2 angalau kulishikilia tako lisidondoke.tunaomkumbuka GiLesI MtIkIsIKo wa Bujibuji tukuje tumchokoze pris.
Picha yake ipo wapi mbona nimeiona kigauni Cha blue tuu hapo Binti mwenyewe simuoni?
Rangi ya ukweli
Mwilaguju atakuwa binti yake wasira
Wajaluo weupe kwa huyoHii ilikua ni fursa kwa ndugu zetu wajaluo kutoka pande za shirati
Yupo na kampuni gani kwa sasa
👋👋👋View attachment 2026655