Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Wabaguzi hawa, waweke na mtu mweupe kuliko wote tuone.
 
View attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.

Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.

Makofi kwake
Du ndugu zetu wa kenya wameshindwa kutuwakilisha kwa kuchukua tunzo komora096 njooni mmuone zeruzeru mweusi huku ,ila zingatio kwa waganga wetu wa kienyeji msije kuanza yale mambo yenyu ya unataka kuwa tajiri au kushinda kisiasa basi leta kichwa cha zeruzeru mweusi au mweupe
 
Back
Top Bottom