Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Halafu wametumia vigezo gani coz bongo kuna people ni black zikicheka yanaonekana meno tu.

Screenshot_20211129_090402.jpg
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
View attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.

Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.

Makofi kwake
Nilipotazama kwa haraka nikadhani ni wale wanachongwa na wamakonde
 
Ebu wajalibu kupita na rorya huko hadi shirati huko watakutana na black panther wakutosha tu.
 
View attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.

Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.

Makofi kwake
mkuu hivi ni kweli au kajipaka lami nyeusi iliyopoa?
 
Back
Top Bottom