Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Binti mweusi zaidi aingia kwenye kitabu cha rekodi cha Guinness

Mpka kivuli cha mkono wake kimeakisi uhalisia
 
Guiness uweka taarifa walizopewa na sio kwamba ni exactly.Huyo sio mweusi pekee
 
View attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.

Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.

Makofi kwake
aQdnonK_460s.jpg
 
Hawa jamaa nao kitu kidogo tu utasikia rekodi ya Dunia, kwa sisi ambao tumeishi na wa-sudan itoshe tu kusema wapo wengi sana wa namna hiyo
 
View attachment 2026655
Mkazi wa Gambele nchini Ethiopia ambaye kwa uasili ni mtu wa Sudan Kusini kutoka kabila la Dinka bi Nyakim Gatwech mwenye umri wa miaka 27 ndio kwa sasa mtu mweusi zaidi duniani.

Nyakim anajulikana kwa ngozi yake yenye weusi asilia.

Makofi kwake
Ndani ni nyekunduuu halafu yamoto band
 
Unanikumbusha mbali Sana aisee Shuleni kulikuwa kuna jamaa mweusi watu mpaka waliacha kuimba Mungu ibariki parade.

Siku ya Kwanza alivojiunga na shule tuko Paredi kachelewa halafu wanafunzi hawajawi muona Ile anaingia uwanjani sie tunaimba Nyimbo ya Taifa Haki ya Mungu wanafunzi waliacha imba shingo zote na macho yote yakageuka kwake kimya kilitawala uwanjani aisee Jamaa mweusi huyu anasingiziwa.
 
Fact: The ‘Guinness World Record’ does not monitor records for ‘skin tone’. The news about Sudanese model Nyakim Gatwech entering the Guinness book of records is ‘fake’. Hence the claim made in the post is FALSE.
 
Back
Top Bottom