Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Mimi naogopa wanaume😢😢Tuyajenge nimetokea kukupenda ghafla tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naogopa wanaume😢😢Tuyajenge nimetokea kukupenda ghafla tu
Hapa ndo umeharibu kila kitu!Nitamkaza kutokana na mlio atakao utoa kwenye shoo
Tuhadithie blohHapa ndo umeharibu kila kitu!
Mimi napenda helaa😂😂😂Mi nakutaka wewe lesista 😍😍😍
Njoo uchukue sasa mbona unachelewa 💕💖Mimi napenda helaa😂😂😂
Usiogope mummy tupo wachache tunaojua kupenda na kudekezaMimi naogopa wanaume😢😢
Tuwe marafiki labdaUsiogope mummy tupo wachache tunaojua kupenda na kudekeza
Why marafiki tu?Tuwe marafiki labda
Ndiyo ipo sawaWhy marafiki tu?
Nafurahi nikiwa na mpenzi mambo ya marafiki tuwaachie watotoNdiyo ipo sawa
Njoo uchukue sasa mbona unachelewa 💕💖
Ntakupa card zote za benk i just want your love lesista 😘💙
Come to daddy my girl 😉😊
Hkutakiwa kugusia shoo, atajua unataka show tu na kudisappear. unapaswa umgusie ndoa family na watoto. Ni msabato mwenzioTuhadithie bloh
Hujakosea mkuu...Hapo unaweza Kuta mleta mada ni yeye mwenyewe Binti sayun
Oww mrembo unautaka niniHujakosea mkuu...
Tumbili wa mjini ananikuna mpaka naloa mtoto wa kike
Ahahaaa nitaona kama utaenda kushitaki tena kwa mod...Oww mrembo unautaka nini
Unaomba poo? Bwabwa nini weweAhahaaa nitaona kama utaenda kushitaki tena kwa mod...
Unaniita mrembo si ndiyo!?
Let's start the game gay
NimekusikiaNnaomba poo? Bwabwa ni mimi mwenyewe
Weka picha yake tukuchangie mchango wa kutongoza manake hakuna cha bure kwa mremboBinti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata kujaribu. Si mara zote mtu hukutana na upekee wa namna hii—ule mng’ao wa nyota ya jioni, wa kuvutia lakini wenye heshima.
Katika ulimwengu huu wa maandishi, umejitengenezea nafasi ya kipekee, na haishangazi kwamba macho yangu yanakufuata, yakitamani kusoma zaidi, kuelewa zaidi, kuhisi zaidi. Labda ni njia yako ya kuyapanga maneno, au labda ni ule utofauti wa kweli unaouleta bila juhudi.
Wapo wanaoandika kwa kalamu, lakini wewe unaandika kwa hisia. Wapo wanaovutia kwa macho, lakini wewe unavuta kwa haiba. Ndiyo maana, leo nimeamua kukupa heshima unayostahili kwa kuweka haya kwenye maandishi—bila shinikizo, bila matarajio, ila kwa moyo ulio huru, ukisema tu kile ambacho kimekuwa kikizunguka mawazoni mwangu.
From Tumbili wa mjini