Binti Sayuni popote ulipo nakupenda, na wadau wa JF watafurahi kutuona tuko pamoja

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu
Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani

Nakupenda sana Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm tuyajenge na watu wetu wa nguvu humu MMU watafurahi tukiwapa mrejesho kuwa tumeoana. please nitumie namba yako pm

natanguliza shukrani.
 
Binti Sayuni, wewe tambua tu hakuna mtu hapa. Na uzuri sisi wanaume wenyewe huwa tunatambuana vizuri kabisa. Hapa ni chenga tu mdogo wangu.
 
Akhuuu😁😁 mimi naogopa nisije kuumia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…