Binti Sayuni popote ulipo nakupenda, na wadau wa JF watafurahi kutuona tuko pamoja

Wakuu
Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani

Nakupenda sana Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm tuyajenge na watu wetu wa nguvu humu MMU watafurahi tukiwapa mrejesho kuwa tumeoana. please nitumie namba yako pm

natanguliza shukrani.
Wewe jamaa jana tuu umeleta uzi umebakwa ukafumaniwa ukalipishwa fine 1.5m hujakoma tuu kutongoza wake za watu?
 
Wakuu
Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani

Nakupenda sana Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm tuyajenge na watu wetu wa nguvu humu MMU watafurahi tukiwapa mrejesho kuwa tumeoana. please nitumie namba yako pm

natanguliza shukrani.
Unazingua demu nishamuwahi unamtaka kama vipi na wewe uwe kifungashio
 
Mbona sina taarifa, kuwa uliniwahi😁😁
 
Back
Top Bottom