Tangu ulijunga nishtuka ingia jukkwaa la wajasiramali. Hama kunduchiNimekuja kusikiliza ujumbe tu mkuu
Unasema niingie wapi?Tangu ulijunga nishtuka ingia jukkwaa la wajasiramali. Hama kunduchi
Kumbuka wale wamekutapeli hela juzi. Haya. Nakutakia jf njemaUnasema niingie wapi?
Mkuu una kumbu kumbu sanaππjuz tu Binti Sayuni03 aliandka thread kuhusu kipenzi chake alivo narcsistcs, hawaelewan kwasasa vizur. sasa ndugu yetu holoholo unataka kutumia hyo fursa kujinyakulia ushindi.
Daah barid limeanza kuperekesha watu hku
Wakina nani?Kumbuka wale wamekutapeli hela juzi. Haya. Nakutakia jf njema
πΆWakina nani?
πππHeeee kumekuchaaaaaaa, sijui kama katapona haka katoto
kashindane na Lukasi Mwashambwa kutunga threads za mapambio,huyu Binti Sayuni03 niachie mimi. KWANZA wewe Tumbili wa mjini umepona lini ugonjwa wako wa degedege?Unazingua demu nishamuwahi unamtaka kama vipi na wewe uwe kifungashio
Take care,kwani upo wapi?πππ
Nipo ndani mkuuTake care,kwani upo wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni upepo tu unapita
Mvua hii vijora kariakoo vinatoka?πΉπΉπΉ Kumekucha..!!
Vinatoka kwa mwendo wa Kobe shem..!!Mvua hii vijora kariakoo vinatoka?
Nikupeleke kwa mtaalam πVinatoka kwa mwendo wa Kobe shem..!!