Wakuu
Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani
Nakupenda sana
Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm tuyajenge na watu wetu wa nguvu humu MMU watafurahi tukiwapa mrejesho kuwa tumeoana. please nitumie namba yako pm
natanguliza shukrani.