Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TakbiiiirCha ajabu ni wewe kutokuiona ajabu.
Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Ajabu ya nini?Inawezekana binti wa kikristo tajiri kuolewa na islamia kwenu ni maajabu!!?
Wewe Bill Gates na mwanawe ni big news duniani.Watu weusi hivi ni nani aliyetulaani Sasa mtu mzima akili na nusu anashabikia ndoa ambayo haimpi hata Tsh 10 inakuhusu nini na itakuasaidia nini punguzeni ujinga
Mimi nauliza wewe Ina kuhusu nini Sasa Kwa mfano wenzako wanafurahia kutengeneza Microsoft zinazowaingizia mabilion na mabilion Kila siku wewe unafurahia ndoa sjui mara wengi wataingia kwenye uislamu wakiingia wengi watakuletea unga wa watoto nyumbani tafuta hela acha kushabikia upuuzi we mbibiWewe Bill Gates na mwanawe ni big news duniani.
Mamilioni watafat mkumbo na kurudi kwenye Uislam wakiisoma tu hii, habari. Unauliza itanisaidia nini wakati kila kitu kipo wazi?
Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam
Sasa yamekuwa kweli...
Mtakufa navyo vijiba vya roho.
Inavyonihusu ni kama hivi ulipoiona tu hii habari ukaja mbio mbio ukaisoma. Ma shaa Allah.Mimi nauliza wewe Ina kuhusu nini Sasa Kwa mfano wenzako wanafurahia kutengeneza Microsoft zinazowaingizia mabilion na mabilion Kila siku wewe unafurahia ndoa sjui mara wengi wataingia kwenye uislamu wakiingia wengi watakuletea unga wa watoto nyumbani tafuta hela acha kushabikia upuuzi we mbibi
Tatizo linapokuja swala waislamu akili zinaendaga makalioni sjui mnajua Kila ambaye sio Mwislamu ni mkristo Sasa nani kakwambia Mimi ni mkristo Punguza wehu we mbibiInavyonihusu ni kama hivi ulipoiona tu hii habari ukaja mbio mbio ukaisoma. Ma shaa Allah.
Umeona mwenzako Mkristo tena Bilionea kakubali kuolewa na Muislam?
Wenye akili watafungua Qur'an waisome waone huu Uislam unafundisha nini haswa. Mambo kama haya ndio hupelekea makundi kwa makundi wakarudi na kuufahamu Uislam.
Wewe hutaki kujuwa Uislam una fundisha nini haswaa? Vipi kitabu cha hawa Waislam (Qur'an) iwe ndicho kitabu pekee kilichohifadhiwa na watu wengi duniani wa Mataifa mbali mbali, wa lugha mbali mbali, weusi kwa weupe, matajiri kwa masikini. Kuna kipi hasa kinachofanya uhiadhi wake uwe mwepesi kwa yeyote yule?
Ni popoma tu ambalo halijiulizi maswali hayo.
Akili kisodaKwa hiyo muislam unasherehekea muislam kumuoa mtoto wa tajiri???