King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Dini tumeletewa na Waarabu na wamishionari kabla yao kuja huku kwetu tulikuwa na tamaduni zetu(imani)....Wewe mwenyewe wazazi wako walikuwa waislam na wewe ukaunga tela,ungezaliwa na wazazi wakristu napo ungeunga tela.
Kwani muislam hafai kuoa mkristu? Kuna wengine wakristu/waislam lakini hata mlango wa kanisa/msikiti hawajui umekaaje.
Kwani muislam hafai kuoa mkristu? Kuna wengine wakristu/waislam lakini hata mlango wa kanisa/msikiti hawajui umekaaje.