Binti wa Bill Gates, waliosema hayawi sasa yamekuwa...

Binti wa Bill Gates, waliosema hayawi sasa yamekuwa...

Hilo jina mbona silifahamu!

Kwa ushauri mwambawie akamuombe Mess amgawie moja
Waislam tunakuja juu kwa kasi hapa duniani, na balon dor mwaka huu Inabebwa na mwislam kwa Mara ya Kwanza, mwamedi salaha jiandae kubeba baloni Doo sioni wa kukusumbua hapo
 
[emoji1][emoji1] Hii account kuna mtu ameirithi.
Faiza Foxy siyo wa kumalizia na sentensi
,, mtakufa kwa vijiba vya roho"

Anyway , tuwatakie maisha mema kwenye ndoa yao mpya.

Mapenzi hayachagui kabila ,dini wa rangi.
Wanakaribishwa kwenye ulimwengu wa wanandoa.
 
Huyu Billgates kama kweli wanayosema kuhusu Corona, basi si Mkristo kweli bali amebeba jina tu la ukristo, na sijui kama huwa anaenda kanisani.
 
Niliwahi kuleta habari humu, hii: Ma shaa Allah, Bint wa Bill Gates kuolewa na Muislam


Sasa yamekuwa kweli...




Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Hiki kitendo wala hakifaidishi kitu katika uislamu,ni jambo la kawaida sana.

Na wala uislamu haumuhitaji kabisa mtoto wa tajiri bali mtoto wa tajiri ndio anauhitaji uislamu.

Kwa mantiki hii huyo mtoto wa biligeti ndio ilipaswa atangaze na akionee fahari kuolewa na muislamu na sio waislamu wajionee fahari kwamba mtoto wa biligeti kaolewa na muislamu
 
Huyu bibi nyambafu sana Ko kisa mume Muslim sijui na utopolo mwingi
 
Back
Top Bottom