inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hayo mafunzo yamefeli pakubwa,badala yake tunaona kinyume chake,pitieni upya njia mnazotumia kufundisha aNINACHO JUA YESU KRISTO ANAFUNDISHA UPENDO TENA ANASEMA UMPENDE ADUI YAKO.
SISI HUKU HATUFUNDISHWI KUCHINJA WATU HATA WAISLAM TUNAFUNDISHWA KUWAPENDA NA KUWAFUNDISHA MUNGU WA KWELI ANAYE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO. View attachment 2808921
Nafikiri ni lugha ya Kiarabu pamoja na Elimu ya awali ya Uislam ndiyo aliyofundushwa katika miezi minne ya awali.Huwezi kusoma uislam kwa kiarabu kwa miezi minne ukafaulu,hiyo ni sawa ufundishwe ukiristo kwa kiingereza miezi minne na ufaulu/umudu,acha uwongo,kwani ukiendelea kumuomba yesu bila chuki kwa dini zingine hutoupata ufalme wa milele!?
Hata hiyo huwezi,sababu uzijue herufi Kisha ufundishwe kuzitamka kwa ufasaha wakati ushakua mtu mzima(umevuka 15yrs) ni ngumuNafikiri ni lugha ya Kiarabu pamoja na Elimu ya awali ya Uislam ndiyo aliyofundushwa katika miezi minne ya awali.
Hata hapa jukwaani tuna itikadi kali akina FaizaFoxy Malaria 2 Alwaz hawa wako brain washed ni kama marobot au misukule aka mazombieRoho mbaya zinapandikizwa.
Mtu anakuwa brainwashed dizaini anakuwa kama zombi hivi, akiambiwa afanye anafanya tu.
Mambo mengi wanafanya kinyume na mafundisho ya dini, Kuna haja ya kusoma dini saana
Nyau hujambo?Aisee,Kwa hiyo alitoroka akarudi?
Faiza al shabab ni wabakaji na wahuni wanaowatesa wasomali.Uongo mtupu.
Nyau tena 🤣🤣🤣 sijambo lakiniNyau hujambo?
We unapendaje?niwe Miss au Mrs Nyau?Sasa wewe ni miss nyau au?
SEma na moyoWe unapendaje?niwe Miss au Mrs Nyau?
Lakini Cha ajabu badala ya kuacknowledge kuwa Kuna tatizo kama hili na kuja na solutions ili kuzuia vijana wao kurubuniwa kuingia katika ugaidi, wao watakuja kupiñga na kuvunga kama hakuna shida yoyote na hizi ni propaganda tu. Lakini matukio ya Alshaban na Boko Haram tunayaona, Bado watapinga na kusema ni propaganda za wazungu
Okay,,kanda ya ziwa kwema?SEma na moyo
Niko pembe ya AfrikaOkay,,kanda ya ziwa kwema?