Binti wa jirani yetu aliwahi kuchukuliwa kwenda kusomeshwa kumbe anapelekwa kwenye mafunzo ya Ugaidi Al Shabab Kenya

Binti wa jirani yetu aliwahi kuchukuliwa kwenda kusomeshwa kumbe anapelekwa kwenye mafunzo ya Ugaidi Al Shabab Kenya

Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee.

Kiufupi ilikuwa hivi.

Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha watoto wake. Ndipo siku moja alipotembelewa na kaka yake aliekuwa anaishi Kenye ambaye kwa sasa navyoandika muda huu ni marehemu (aliuwa na wanausalama).

Kaka wa mama huyo alikua tayari ameshakuwa ni kiongozi wa Dini (Islam) huko nchini Kenya na maarafu Sana tofauti na mama huyo ambaye alikua ni mkristo hata marehemu mume wake alikua ni mkristo.

Basi, Kaka wa Mama huyo baada ya kumtembelea Dada yake maana ilikua ni muda mrefu Tangu alipoamia Kenya alimuomba amchukue Binti yake (mtoto wa Dada yake) akaishi naye kwa lengo la kumsaidia Dada yake na kumsomesha kwa kuwa Dada yake anaishi maisha ya kipato cha chini sana.

Kutokana na wazo hilo na kwakuwa mama wa binti alitamani siku moja binti apate elimu maana yeye asingeweza mudu gharama za kumsomesha alikubali.

Kaka wa mama yule alimuambia Dada take kuwa Kuna Taasisi ya kidini inatoa Scholarship kwa watoto wanaoishi mazingira magumu na inahitaji watu wa dini ya kiislamu kuweza wafadhili na mimi kwa eneo la msikiti nilipo Mimi ndio ni kiongozi wa hapo hivyo itakuwa rahisi na yeye aingizwe kwenye iyo program.

Mama mwanzo alikataa binti yake hawezi kubadili dini ila kwa sababu ya shida alikubali.

Maisha ya Binti alipofika Kenya
Binti anasimulia alipofika Kenya kwa kaka wa mama yake alikutana na idadi kubwa ya watoto wadogo wa Rika tofauti takribani watoto 50 na kila baada ya week walikuwa wanaondoka na wengine wanakuja awali hakujua wanapelekwa wapi.

Taratibu zikaanza za kuanza kufundishwa Lugha ya kiarabu na mafundisho ya Dini na hata uvaaji wa Nguo na kuishi kwa destury za kiislamu.

Mavazi yao walikuwa wanavaa mavazi yanayoziba sehemu zote za mwili hata mikononi pia walivaa groves USO wote ulifunikwa hawakuruhusiwa kujichanganya na watu wengine.

Maisha ya pale polepole akaanza kuyazoea. Akiiaminishwa kuwa baada ya elimu ya Dini ya awali akifaulu atapata nafasi nyingine ya kuingizwa kwenye program alisona kwa bidii na akafaulu mafunzo hayo baada ya miezi 4 kundi lao lilichukuliwa na kupelekwa eneo jingine ambalo haikufahamika ni wapi huko ndipo waliloanza kufundishwa itikadi kali za kuwachukia wasio na dini zao namna ya kujitoa muhanga mafundisho mengi na ya visasi.

Alikutana na wenzake ambao walikuwa wameshafundishwa mapigano kutengeneza silaha, vilipuzi, kutumia jambia, kuteka na mafundisho mengi sana.

Alishuhudia watu wakiletwa pale na kuamriwa wanafunzi waweze kuwachinja kwakuwa hawakukubali dini ya kweli.

Itaendelea....
Maeneo flani tanga lushoto kuna mwamba alikua ustaaz kobaz kila wakati na mkewe hatoki nje yeye ni ninja tupu. Mwamba alikua na gereji yake kumbe geresha tu mjuba alikua analea kakikundi kakigaidi mixer ujambaka. Ila hii nchi ilijitahidi ikapeleleza na wakamdaka ananyea ndoo yaani
 
Hayo mafunzo yamefeli pakubwa,badala yake tunaona kinyume chake,pitieni upya njia mnazotumia kufundisha a
HUO NDIO UKWELI SISI HATUFUNDISHWI KUKATA WATU VICHWA AU KUCHINJA WATU TOFAUTI NA UISLAM.

KWA YESU NI UPENDO TU NDIO TUNAO FUNDISHWA YANI HUKU NI UPENDO TU MWILI UTAKE AU USITAKE LAKINI UTAFUNDISHWA UPENDO TU.

Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huu sio uogo,kuna binti nilikua naye kwenye mahusiano alishawahi nielezea story kama hii,mana baada ya kumaliza 4m4 alipelekwa zanzibar kwenye kambi maalumu,ambapo walikaa miezi mi4 bila kutoka nje ni kufundishwa dini na tamaduni za kislamu huku wakirambwa mboko,ni mengi sana alinielezea hakika inasikitisha sana.
Mi hawa watu ninawajua sana nimeishi nao close mno. Wanachuki zilizopitiliza. Kuna demu flan msomali wa ilala nilikuwaga nae wale ninja miaka ile ya Kikwete. Alikuwa walichokuwa wanaambizana huko misikitin eti msimchague Slaa ni kafiri mchaguen kikwete mwenzetu.
 
Simba 1
Yanga 5
Kuifunga Simba ni ndoto ya Yanga wakati wote ndiyo maana hufurahi na kushangilia sana kuliko kuifunga Azam au Singida.
Wanayanga watafanya mpk documentary inaonesha kuwa wameifunga Simba goli 5.
Ukiifunga timu kubwa na bora lazima ufurahie sana.
Uzi unahusu mambo mengine ila yeye kaandika ushindi wa Yanga kwa Simba.
Umedhihirisha Simba ni timu kubwa barani Afrika
 
Back
Top Bottom