Mbona hapo kwwnye riba wamama mwajuma wengi wapo kwny vikoba huko riba kama kawaKwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Na sura piaAngekuwa na chura huyu
Ova
Aisee unaniuliza mimi? Mungu anajisifia ktk Quran kuwa amemuumba binadamu kuwa kiumbe pekee cheke akili.Mbona hapo kwwnye riba wamama mwajuma wengi wapo kwny vikoba huko riba kama kawa
Nimetoa tuu mtazamo. Mwisho wa siku ni kweli kila mtu atatambua mwenyewe baya na zuriAisee unaniuliza mimi?? Mungu anajisifia ktk Quran kuwa amemuumba binadamu kuwa kiumbe pekee cheke akili.
Hivyo kila mtu anaweza kutambua zuri na baya.
Kwenye Suala la Kitimoto ni kwamba imezuiliwa ulaji wa nyama za wanyama mbali mbali.kwahiyo sheikh wangu unawaasa nini wale ambao wanataka kuua wenzao kisa kitimoto??
Nguruwe ikipikwa vizuri na ikaiva vizuri, Ina madhara Gani ? Unaweza kuleta uthibitisho wa kisayansi/kidaktari kuwa nguruwe hata uipike vizuri na iive vipi Bado itakuwa na madhara kwa binadamu ?Kwenye Suala la Kitimoto ni kwamba imezuiliwa ulaji wa nyama za wanyama mbali mbali.
WANYAMA WENYE MENO YA KUSHAMBULIA NI HARAMU.
Wanyama wasio na kwato na ambao hawacheui ni HARAMU.
Wanyama wenye kucha za kushambulia pia hawaliwi.
Sasa hapo katika kuelezea ndipo ilitolewa mfano wa wanyama hao ambapo NGURUWE ameharamishwa.
Na hapa ieleweke wazi, M/Mungu hakuosei, kila kilichokatazwa kina athari kwa binadamu.
Naomba tofauti kati ya 9 na 11Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Zinaa imejumuishwa mambo yote ikiwa ni KUMTAMANI MTU KIMAPENZI, KUMTONGOZA, KUKUMBATIANA, NKNaomba tofauti kati ya 9 na 11
tofauti ya KUZINI NA ZINAA tafadhaliKwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Hiyo namba 4 ina mkaanganyiko, si tunaambiwa huko peponi kutakuwa na vijito vya pombe, sasaa inakuwaje dhambi!!???Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
Sijaelewa? Huyo dada anatoa tigoNDIO YALE YALE,
'' SILI NGURUWE,NI HARAMU. UFIRA.JI ANASHIRIKI NI HALALI, NI SUNA ''
Mwenye Uislam POMBE NDIO BABA WA MAASI YOTE, YAAN POMBE NDIO BABA WA DHAMBI DUNIANI.Hiyo namba 4 ina mkaanganyiko, si tunaambiwa huko peponi kutakuwa na vijito vya pombe, sasaa inakuwaje dhambi!!???
Kwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.
🤔🤔mbona amevimba mguu1
Kuna utofaut gan na kutokula kitimoto halaf