Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mbona hapo kwwnye riba wamama mwajuma wengi wapo kwny vikoba huko riba kama kawaKwenye Uislam kuna makundi ya dhambi.
Dhambi kubwa
Dhambi ndogo ndogo
Dhambi kubwa.
1. KUKUFURU MUNGU/KUTOAMINI KUDRA ZAKE AU REHEMA NA SHARI ZAKE
2. KUTOAMINI MITUME WAKE
3. KUTOKUSWALI
4. POMBE
5. KULA MALI ZA YATIMA
6. RIBA
7. KUWAUDHI WAZAZI WAKO
8. KUUA
9. KUZINI
10. KUWASINGIZIA WANAWAKE WATULIVU
11. ZINAA.
12. USHIRIKINA
Hizo dhambi ziepuke sana, Mwenyezi Mungu ametuasa waja wake kuwa hizo dhambi utapokufa bila kutubia basi huna msamaha.