Binti wa kiislam alikataa dili la pombe kwa vile dini yake hairuhusu

Binti wa kiislam alikataa dili la pombe kwa vile dini yake hairuhusu

Mzungu pekee ndiye mwanadamu anayekwenda straight na moyo wake, Africa unafiki mwingi hasa juu ya dini
 
Mwenye Uislam POMBE NDIO BABA WA MAASI YOTE, YAAN POMBE NDIO BABA WA DHAMBI DUNIANI.

Pombe, inapelekea kukufuru Mungu, Kuzini, Kutukana, kutoswali, kutotoa Sadaka & Dhaka, Ugomvi, udhariri, Mauaji nk

Dhambi nyingi zinatokana na ulevi, POMBE ina athari kubwa sana pengine kuliko vitu vingi duniani hapa.
Sidhani kama upo sahihi.
 
Back
Top Bottom