Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

Mkuu kwa kipindi hiki ambacho kampuni Yenu iko kwenye karantine. Njoo bern tufanye kazi za ufundi mambo yakiwa vizuri unaludi kazini kiroho Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa kipindi hiki ambacho kampuni Yenu iko kwenye karantine. Njoo bern tufanye kazi za ufundi mambo yakiwa vizuri unaludi kazini kiroho Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
uko Bern ukanda wa kule milimani mkuu? halafu huko mnaongea kijerumani sana kitu ambacho mimi kinanipa shida
niachie namba PM nikucheki whatsapp
 
mkuu tanzania na Uswisi tunapishana masaa mangapi?
ili kukujibu swali lako vizuri niambie huko sasa hivi ni saa ngapi ili nikuambie mda wa huku ulinganishe mwenyewe?
 
daah shukrani mkuu kumbe ni kama hapo RWANDA TU utofauti wa saa
hii ina maana mda wa uswisi ni sawa na RWANDA
kumbe nikienda rwanda nakuwa niko sawa na switzerland kwenye suala la mda, ndio najua leo hili
 
Mkuu hebu mdadisi vizuri kama ana dada unipatie namba yake nami nipate sababu ya kuja GENEVA
 
Back
Top Bottom