mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
ingia hapa Parship.ch, meeting.ch ama lovescout24.ch kuna watoto wa uswisi wengi sana kama unajua lugha pambana nao hapo hii ndio mitandao maarufu huku
ziko nyingi sana mkuu kwenye hizo ulizotumia ondoa .ch ukiweka hiyo dot ch inakuwa ni site hiyohiyo lakini ya lugha nyingine kijerumani, kifaransa, kiswiss ama kiitalty hizo za kiingereza sachi hivi Parship, meetic,love scout 24, eDarling, connecting singles, swiss friends dates na match pamoja na Elite singles...zipo nyingi mno jaribu hizoMkuu hamna site za kiingereza? naona hiyo lugha siilewi kabisa
Nashkuru sana kiongoziziko nyingi sana mkuu kwenye hizo ulizotumia ondoa .ch ukiweka hiyo dot ch inakuwa ni site hiyohiyo lakini ya lugha nyingine kijerumani, kifaransa au kiitalty hizo za kiingereza sachi hivi Parship, meetic,love scout 24, eDarling, connecting singles, swiss friends dates na match pamoja na Elite singles...zipo nyingi mno jaribu hizo
😀😀😀Huyo mrembo namfahamu wanafanya kazi pamoja na MIA KHALIFA kakudanganya mkuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha gan? Kiswisi au kiingerezaingia hapa Parship.ch, meeting.ch ama lovescout24.ch kuna watoto wa uswisi wengi sana kama unajua lugha pambana nao hapo hii ndio mitandao maarufu huku
Bibi unafanya nini kwenye majukwaa ya vijana?Hongera, naona unasambaza mbegu ughaibuni