Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulituwakilisha kwa kuchakata???Alipata Dharula nje ya nchi ila nashukuru alinipoza kidogo
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
dah ukute ni ka job tu anataka kukupa kakusaidie uache kupigika wewe umeshajiongeza unatunukiwa mazima
Kijana hachelewi kupiga mundende na kubeba condom kabisa.
Akijua kuna kupewa mautam.
🙄🙄🙄
Dah. Kumbe nilishakomentigi tena bange hizi hizi 🤣🤣🤣🤭🤭🤭Teh teh teh 😂 😂😂 huenda jamaa alifanya maandalizi ya kutosha
Hahaaa umenichekesha na kunikumbusha mengi sana.Acha u Nyandindi, yaani mtu akikuomba TU mtoke tayari unaona kakupa mwandu? Baaaah bwana wewe bahh.
Hauna picha yake maana hata nami kuna binti wa kishua ananimaindi.......ebu tuwekee tumuone!Buheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu nipe nikakuchukulie ingawa Iko mbali kidogo akasema Sina, nikamwambia nipe hela nitajua huko huko Cha kufanya ingawa alionekana kusita ila alinipa kiasi Cha elfu 20 nikaenda fasta pale shell nikajaribu kuongea na mlinzi wa pale shell anisaidie kidumu bahati nzuri akanipatia kidumu Cha ltr5 nikampoza buku2000 Kisha nikaenda kupimiwa mafuta.
Nikachukua bodaboda ili aniwaihishe fasta tulipofika pale alipo yule binti alivyoniona tuu alitoa tabasamu murua na kusema nilidhani utaingia mitini si unajua Imani imekwisha sikuizi, nikasema hata kama ningekimbia na elfu 20 yako isingefanya niwe bakheresa shida zingebaki pale pale tuu, akasema nikweli ila nivijana wachache Sana wenye mawazo kama yako.
Basi akaweka Yale mafuta hatimae akawasha kitu kikakubari akanishukuru pia akanipa albino mmoja aisee kwakua nilikuwa nimepigika kutwa nzima nilishukuru Sana kwani nilipata pakuanzia kwa mama watoto, basi akaniomba na namba za simu nilisita kumpa ila ikanilazimu tubadirishane namba.
Zikapita Kama siku mbili akanipigia tukaongea mengi Sana ila kubwa alinisifia Sana kwa ukarimu na uaminifu wangu kisha akaniomba nitenge siku tukutane ili tufahamiane zaidi.
Sasa wakuu Mimi Nina mke na huyu manzi kaonyesha kunielewa na ukicheki kwao Wana mawe daah najuta kuoa mapema asa sijui nifanyeje ili ala ikae panga mbili na sijamwambia kuwa Nina mke namtoto.
Vingine vinakabaTamaa mbaya
Unaonaje utunzi wanguHii hadithi haijafika tu mwisho
Haikuwa hivyo[emoji16][emoji16][emoji16]Ulituwakilisha kwa kuchakata???
Kama hukuchakata umefelisha wadau...
Kasema utenge siku mfahamiane zaidi wewe unasema kakupenda.....upo sawa kweli wewe au wewe ndio umempendaBuheri mazee
Ebhana majuzi kati hapa nilikua napita zangu kandokando ya barabara kwambali nikaona gari imesimama nilivyoikaribia na kuanza kuipita ghafla ilitoka pisi kali Sana ikaniita"samahani kaka" nikasema bila samahani, Gari yangu imeisha mafuta na cjatembea na akiba hivi shell Iko wapi maeneo haya nikasema kama unadumu nipe nikakuchukulie ingawa Iko mbali kidogo akasema Sina, nikamwambia nipe hela nitajua huko huko Cha kufanya ingawa alionekana kusita ila alinipa kiasi Cha elfu 20 nikaenda fasta pale shell nikajaribu kuongea na mlinzi wa pale shell anisaidie kidumu bahati nzuri akanipatia kidumu Cha ltr5 nikampoza buku2000 Kisha nikaenda kupimiwa mafuta.
Nikachukua bodaboda ili aniwaihishe fasta tulipofika pale alipo yule binti alivyoniona tuu alitoa tabasamu murua na kusema nilidhani utaingia mitini si unajua Imani imekwisha sikuizi, nikasema hata kama ningekimbia na elfu 20 yako isingefanya niwe bakheresa shida zingebaki pale pale tuu, akasema nikweli ila nivijana wachache Sana wenye mawazo kama yako.
Basi akaweka Yale mafuta hatimae akawasha kitu kikakubari akanishukuru pia akanipa albino mmoja aisee kwakua nilikuwa nimepigika kutwa nzima nilishukuru Sana kwani nilipata pakuanzia kwa mama watoto, basi akaniomba na namba za simu nilisita kumpa ila ikanilazimu tubadirishane namba.
Zikapita Kama siku mbili akanipigia tukaongea mengi Sana ila kubwa alinisifia Sana kwa ukarimu na uaminifu wangu kisha akaniomba nitenge siku tukutane ili tufahamiane zaidi.
Sasa wakuu Mimi Nina mke na huyu manzi kaonyesha kunielewa na ukicheki kwao Wana mawe daah najuta kuoa mapema asa sijui nifanyeje ili ala ikae panga mbili na sijamwambia kuwa Nina mke namtoto.
avatar yako inaniumizaTamaa mbaya
Pole jamaniavatar yako inaniumiza
njoo unipe pole pm/inboxPole jamani