Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Huko ni kujipa matumaini tu kwa kiwango cha kipuuzi kabisa. Huko ni kwa mtu alieshindwa kutumia nafasi na fursa aliyoipata vizuri.Kama hachagui kazi huo msemo ilitakiwa aitumie akiwa marekani. Kule kuna kazi nyingi za kwenye mashoprite ya kupanga mabox tu,hata kama unasoma,una uwezo wa kutengeneza hela,tena hela sio hizi. Kule unalipwa kwa masaa. Nina mifano miiiiiingi isiyo idadi. Nina familia jirani,huyo mama ni mzee sasa ana watoto wa4,mkubwa yuko uingereza,ndie alianza kwenda kama kusoma,lakini akaanza na kazi hizo za kwenye mashoprite kupanga mabox,baadae alivyomaliza masomo akatafuta kazi huko huko. Kifupi kwenda kusoma ilikuwa gear tu. Baada ya kuseto akampigia pande mdogoake akaenda,akampa michongo mizima. Dogo baada ya muda pale UK,akasepa uswiswi,nae akamvuta dogo mwingine,huyo dogo wa 3 baada ya muda akasepa marekani,baada ya muda nae akamvuta wa 4. Wa 4 yuko Canada. Familia iko njema sana. Mama akiamua kuzunguka kote kwa wanae. Kazi walizoanza nazo ni hizo ambazo wazungu hawazitaki za kupanga mabox wanaziona ni za chini. Lakini zina mshahara wa kukufikisha ukawa milionea ukija huku kwetu. Hata ufanye ndani ya miaka 10 tu wewe ni bilionea ili mradi uwe na malengo,achana na statehe za kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi angeajiriwa kfc auze makande au chips za mwajiri wake.. ungemuona mjanja ??

Yaani kwangu mtu yoyote aliefika kusoma au kuishi marekani au nchi za ulaya,halafu akarudi huku analialia habari za hela huo ni upopoma mkubwa,hata huyo anaeuza kande wakati amesoma marekani/kuishi marekani ni mpumbavu wa hali ya juu,siwatanii

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio kuishi na kusoma Marekani au nchi za Ulaya ni tiketi za mafanikio? Hujui kuna waliozaliwa huko na hawana hata senti ya kula?
 
Kwahio kuishi na kusoma Marekani au nchi za Ulaya ni tiketi za mafanikio? Hujui kuna waliozaliwa huko na hawana hata senti ya kula?
Ndio maana wapo hata hapa hapa walio kwenye nafasi ya kufanikiwa na wanalazimishwa wafuate njia za mafanikio lakini wanaishia kuchezea hizo nafasi. Kwa hiyo walioko huko na wakashindwa kufanikiwa ni ksbb ya akili zao tu. Soma hapo juu nilipofafanua familia iliyofanikiwa sana kwa kuwa ulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine hawana mtaji,wengine ni masistaduu yaani akiwa na degree au masters ahangaike na umama ntilie wakati ana PHD ya sura na Makalio na mjini yanatoa ajira.
Wengi hawajitambui kwa kweli, namkumbuka dada mmoja aliniomba nimtafutie kazi ya hotelini, nikamwambia tufungue mgahawa mdogo (mama lishe), auendeshe yeye tuwe wabia ila gharama za awali ni zangu akakataa.
Baada ya muda nikasikia kaajiriwa kwenye bar. Alijiona matawi hawezi hangaika na upishi badala ya kuangalia kipato na nilimpa mfano wa namna tungetengeneza kipato.
 
Inapendeza...

Ila hiyo inaitwa 'Total waste of time'

Kuna watu wana masters na kazi mpaka kesho hawapati wazunguka na vibahasha tuu...

Cc: mahondaw
 
Kwahiyo umeona ni jambo la ajabu linalotakiwa kuigwa!!

Vijana wengi wasomi wanafanya shughuli zaidi ya hiyo na hawajitangazi.....nenda pale Pugu dampo utakutana na masters holder wanaokota makopo na kufanya biashara zinazofanana na hizo.
........Kwenu ndo mnaona si jambo la kawaida ila huku ni simple tu ndo maisha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nna degree ya SAUT nachoma mahindi hapa darajani hapa Mbeya.Huyo hafanyi biashara anajitangaza,tupo wengi huku tunatokea kwenye familia maskini mnoooo nadhani ndiyo maana hamtutangazi.....HAKUNA MTU HAPENDI KUFANYA KAZI,HAKUNA MTU ANAPENDA KULA BURE,SHIDA NI MTAJI NA KUPATA KAZI YENYEWE.
Nimekusoma vizuri mkuu.
 
Back
Top Bottom