Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Wasomi wengi wanakwama kwenye kitu kinaitwa....analysis paralysis.... Wanastudy every detail...at the end they fail to do anything!.... Hii inasababishwa na school system ambayo inawaambia mtu ukikosea wewe ni mjinga wakati ukweli ni kwamba unapofanya makosa ndio wakati mzuri zaid wa kujifunza kupitia makosa yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasomi wengi wanakwama kwenye kitu kinaitwa....analysis paralysis.... Wanastudy every detail...at the end they fail to do anything!.... Hii inasababishwa na school system ambayo inawaambia mtu ukikosea wewe ni mjinga wakati ukweli ni kwamba unapofanya makosa ndio wakati mzuri zaid wa kujifunza kupitia makosa yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu
 
Habari wadau...

Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?

Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na masters university of Minnesota huko USA.

Baada ya kumaliza masomo yake akaamua kurudi nyumbani kujiajiri kwa kuuza makande kisasa na kwao ni mambo safi hasa hasa...

Nawaza tu why dada zetu maskini hawapendi kujishughulisha huku washua hawachagui kazi.

Nimemkumbuka na Mercy Kitomari Nelwa Gelato naye ana degree ya U.K ila amerudi Tanzania anauza ice cream tu kisasa


watu wengi hawajui mambo ya kijasusi yanavyoenda,baada ya miaka 3 mtafuteni huyo bint na mahala anapouzia kande kama atakuwepo,wabongo wepesi sana.
 
Umenena vyema kabisa kwani wengi tunakimbilia changamoto ya mtaji kutafuta huruma lakini ukweli mitaji ipo tatizo wengi ukiwauliza wanataka mtaji wa shilingi ngapi watakujibu milioni kadhaa wakati katika maisha ya kawaida unakuta hatuna hata laki 2 tunayomilki. Hivyo badala ya kuwaza mtaji wa kuanzia milion moja na kuendelea, tunatakiwa tuanze na kile ambacho kipo ndani ya uwezo kukipata yaani kama laki 2 tu kuishika ni tabu basi level zetu za kuanzia ziwe humo humo kwenye fifty mpaka laki 2 nina imani tukifikiria katika mtazamo huo tutatoka na ndio msemo wa wahenga unapokuja "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" yaani anza pale ulipo kwa wakati huo mengine yatakuja ikiwa pamoja na connections
Uko Sawa kabisa. Kuanza hapo hapo ulipo na kile kile ulichonacho ndio mwanzo wa kutoboa. Hakuna mtu wa kukupa connection au wa kukushika mkono ukiwa umepack pembeni kusubiri mamilioni ya wasamaria wema. Safari ya maili 1000,huanza na hatua Moja so nikuwa na Ndoto kubwa na kuanza kidogo kuifuata.
 
Mmmmh! Unajua huwa najiuliza kwanini wanafunzi huwa wanaacha shule wanapata mimba. Ila nimekujua kua wasomi ndio wamekua ndio chanzo mm siwezi kumuamulia afanye Nini ila huo uzi haufai kuonekana Kama ni wakiukombozi. Kwasababu hautii hamasa kwa vijana na wanafunzi kwa maana umeonyesha kua muhusika ndio amefanikiwa mbaka anatuambia hayo. Sasa hatuwezi kuwafanya wanafunzi waone umuhimu wa elimu kwa kuuza kande. Pia asitukejeri vijana kwamba sisi hatuoni fursa kiasi hicho uo mtaji wakuuza kande wa huyo binti sio wa kande za ground so msitukejeri kiasi hicho kwamba nitauza kande hafu nitoke. Kazi nyingine ni kupata hela ya kula tu sasa tusinanganyane mimi io angetuambia akati ameshauza nayupo kwenye biashara inayoendana na alivyosoma kua mtaji aliupata kwenye kande ila sio kutuhamisha tuuze kande .kande ambao hawajasoma wafanyanye mimi nadhani kazi ambazo Kila mtu anaweza kufanya niza kutafutia mitaji lakini sio kama nikipimo cha kwamba msomi kafanikiwa.

Kwa mwandiko huu ni bora tu ukauze kande uko shwain kabisa msomi unashindwa kuandika ata paragraph moja ikaeleweka?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom