Binti wa kishua, mwenye shahada toka Marekani amejiajiri kuuza makande, dada zetu maskini wanachagua kazi

Wasomi wengi wanakwama kwenye kitu kinaitwa....analysis paralysis.... Wanastudy every detail...at the end they fail to do anything!.... Hii inasababishwa na school system ambayo inawaambia mtu ukikosea wewe ni mjinga wakati ukweli ni kwamba unapofanya makosa ndio wakati mzuri zaid wa kujifunza kupitia makosa yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu
 
watu wengi hawajui mambo ya kijasusi yanavyoenda,baada ya miaka 3 mtafuteni huyo bint na mahala anapouzia kande kama atakuwepo,wabongo wepesi sana.
 
Uko Sawa kabisa. Kuanza hapo hapo ulipo na kile kile ulichonacho ndio mwanzo wa kutoboa. Hakuna mtu wa kukupa connection au wa kukushika mkono ukiwa umepack pembeni kusubiri mamilioni ya wasamaria wema. Safari ya maili 1000,huanza na hatua Moja so nikuwa na Ndoto kubwa na kuanza kidogo kuifuata.
 

Kwa mwandiko huu ni bora tu ukauze kande uko shwain kabisa msomi unashindwa kuandika ata paragraph moja ikaeleweka?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…