Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
mbona havina uhusiano kabisa gentleman?🐒Kama msichana wa miaka 15 anaruhusiwa kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yake yote hapa duniani pamoja na maisha ya watoto wake( ndoa) kwanini haaminiki linapokuja suala la kufanya maamuzi ya kumchagua kiongozi atakayemuongoza kwa miaka mitano?? .
Wewe ni sawa na dog, ningesema mbwa nakusamehe.mbona havina uhusiano kabisa gentleman?🐒
mihemko useless jukwaani ya nini sasa gentleman, badala ya kujikita kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi?Wewe ni sawa na dog, ningesema mbwa nakusamehe.
Ukisikia CCM, ni worse than pigs & dogs
Mkuu jimbo gani Hilo , linazuia watu wasinywe beer mpaka 22 ?Huku "Marekani" tunalia mtu wa miaka 18 anaruhusiwa kuoa, kupiga kura na kujiunga jeshini lakini haruhusiwi kunywa pombe hadi afike 22.
Lakini dini haijaweka umri rasimi wa kuoa au kuolewa.Dini
huku vijijini mbona wanamantain umri huohuo bila diniDini
Tatizo ndio liko hapo, ndio maana serikali wanaruhusu hadi binti wa miaka 14 aolewe kwa sababu masheikh wanataka hivyo.Lakini dini haijaweka umri rasimi wa kuoa au kuolewa.
Mkuu ukuaji wa binadamu huwa unadhibitishwa na kwa balehe na sio miaka na wala hili sio suala la mashehe.Tatizo ndio liko hapo, ndio maana serikali wanaruhusu hadi binti wa miaka 14 aolewe kwa sababu masheikh wanataka hivyo.
Sheria, kanuni na miongozo huwa vinawekwa kwa ujumla wake. Ndio maana hata kwenye kupiga kura kuna umri wa chini wa kuruhusiwa kupiga kura ambao ni miaka 18 japo Kuna watu wenye hiyo miaka hawana akili za kuchagua na kuna watu wana miaka 16 au 17 na wana uwezo mzuri tu wa kuchagua kiongozi sahihi.Mkuu ukuaji wa binadamu huwa unadhibitishwa na kwa balehe na sio miaka na wala hili sio suala la mashehe.
Haya mambo ya miaka 18 imetungwa juzijuzi tu hapa hali ya kuwa dunia ina Malaki ya miaka kama sio mamilioni.
Alafu pia Kwa hapa nchini ukiangalia takwimu mikoa inayo ongoza Kwa mabinti kuolewa wakiwa wadogo ni mikoa yenye waislamu wachache.
Je unajua kuwa umri wa binti kuolewa nchini uingereza ni kuanzia miaka 16?
Lakini sio sahihi kusema eti mashehe ndo sababu ya serikali kutoongeza umri wa kuoa au kuolewa.Sheria, kanuni na miongozo huwa vinawekwa kwa ujumla wake. Ndio maana hata kwenye kupiga kura kuna umri wa chini wa kuruhusiwa kupiga kura ambao ni miaka 18 japo Kuna watu wenye hiyo miaka hawana akili za kuchagua na kuna watu wana miaka 16 au 17 na wana uwezo mzuri tu wa kuchagua kiongozi sahihi.
Ni 21, typing error.Mkuu jimbo gani Hilo , linazuia watu wasinywe beer mpaka 22 ?
Mkuu, ni nachojiuliza kwanini binti wa miaka 15 aambiwe yeye ni mtoto linapokuja suala la kupiga kura lakini mtoto huyo huyo linapokuja suala la ndoa anaambiwa yeye amekomaa anaruhusiwa kuolewa??Kama tumeamua mtu mzima umri unaanzia miaka 10 au 20 au 30 basi vitu vyote vinavyoruhusiwa kwa mtu mzima eg pombe,kupiga kura,kuoa/kuolewa,kuajiriwa viruhusiwe sio viruhusiwe baadhi vingine vikatazwe.kama kuna kitu nimejifunza hapa duniani, ni kwamba hakuna kitu rahisi kama kukosoa, lkn kuja na suluhisho ni swala lingine kabisa i mean, siyo rahisi kuja na majibu ambayo yatamridhisha kila mtu lkn bado ni lzm tuishi kwa pamoja na ndiyo maana ya uwepo wa kanuni na taratibu.
wewe unayehoji uhalali wa miaka 18 leta suluhisho lako, wewe ungependelea hali iweje? kwa mfano mtu akiua ungependelea adhabu ianzie umri gani? je, mtoto wa miaka 10 akimuua (inatokea) rafiki yake ashitakiwe na kuhukumiwa kama wa miaka 18 au 20 au 25? na je, jela kijana wa miaka 15 ni sawa afungwe jela moja na wa miaka 25 au 30, 40 au 50? ukianza kufikiria kwenye huo uelekeo utaona kwamba its not easy ila kukosoa ni rahisi, na kabla haujajibu hayo maswali fikiria wewe ulivyokuwa umri wa kubalehe (kuna sababu kwa nini wanaita foolish age) mambo uliyoyafanya ukiyaangalia leo hii hauoni kama unaona ni "utoto" je, ungepependa uhukumiwe kwa kama mtu mzima kwa mambo ya balehe?, ina maana akili inakomaa na umri, hivyo ni lazima kuwe na pa kuanzia, na miaka 18 its just about right age ya akili kukomaa na mtu kuweza kuhukumiwa kwa makosa aliyoyafanya.
hakuna suluhisho lililokamilika, kilichopo ni compromise ...
Mkuu, ni nachojiuliza kwanini binti wa miaka 15 aambiwe yeye ni mtoto linapokuja suala la kupiga kura lakini mtoto huyo huyo linapokuja suala la ndoa anaambiwa yeye amekomaa anaruhusiwa kuolewa??Kama tumeamua mtu mzima umri unaanzia miaka 10 au 20 au 30 basi vitu vyote vinavyoruhusiwa kwa mtu mzima eg pombe,kupiga kura,kuoa/kuolewa,kuajiriwa viruhusiwe sio viruhusiwe baadhi vingine vikatazwe.
Bongo binti wa miaka 15 anaolewa kwa ruhusa ya wazazi.nilifikiri tanzagiza umri wa kuoa/lewa ni miaka 18, au? at least nafahamu nchi nyingi majirani zetu kama kenya ni kisheria umri wa kuoa/olewa ni miaka 18 ...