Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

huyo Raila ana nafasi gani? Ni Kama Lizzu tu aliyechangamka huko Kenya
 
Hawa wakwetu hapa badala ya kutumia fedha ambazo wazazi wao wamejilimbikizia kufungua makampuni na kuajiri vijana wenzao ndio kwanza wamejazana kwenye nafasi za ajira huko kwenye mashirika ya uma na serikali kuu.

Nafasi za uteuzi na nyinginezo zote wamekaba.

Mtu anao uwezo wa kupata milioni 100 kama mtaji lakini anakaba nafasi ya mshahara ya milioni moja ya mtoto wa maskini. Ni kutafuta laana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…