Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga

Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya Agosti 2022.

Hongera Kwake
FB_IMG_16538314138979375.jpg
FB_IMG_16538314057929288.jpg
FB_IMG_16538313711348389.jpg
 
Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga

Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya Agosti 2022.

Hongera Kwake
huyo Raila ana nafasi gani? Ni Kama Lizzu tu aliyechangamka huko Kenya
 
Hawa wakwetu hapa badala ya kutumia fedha ambazo wazazi wao wamejilimbikizia kufungua makampuni na kuajiri vijana wenzao ndio kwanza wamejazana kwenye nafasi za ajira huko kwenye mashirika ya uma na serikali kuu.

Nafasi za uteuzi na nyinginezo zote wamekaba.

Mtu anao uwezo wa kupata milioni 100 kama mtaji lakini anakaba nafasi ya mshahara ya milioni moja ya mtoto wa maskini. Ni kutafuta laana tu.
 
Back
Top Bottom