Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 643
Mkuu watoto wa Prez Obama wanasoma Sidwell Friends ambayo ni private school, ada yake kwa mwaka ni $ 32,000 of course haiwezi kuifikia hii ya Switzerland vile vile Chelsea Clinton na mtoto wa Al Gore walisoma hapo.Mkuu haya mambo yanawezekana Tanzania. Lakini kwa nchi zilizoendelea, kiongozi akimpeleka mtoto wake kwenda kusona kwenye private school, badala ya public school ambazo zipo kwa ajili ya wate, ni kashfa.
Ruth Kelly named as Labour minister sending a child to private school | News
Mpaka hapa thread ilipofikia hatujaona ushahidi wa kuwa hao ni mabinti wa Rostam au uthibitisho wa kuwa hao watoto wanasoma hapo kwenye hiyo shule instead mleta mada katuwekea pdf ya ada tu.