Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

Binti wa Rostam anasoma shule ada US$ 200000 kwa mwaka

asante kwa hiyo informationa mkuu,
japo wengine wanaona kama ni maisha ya mtu binafsi eti hayatuhusu
hizo fikra na kauli zinaniumiza sana,
tatizo la watanzania (labda na mimi nipo humo)
hatuna upeo mkubwa wa kufikiria na kuchambua mambo,
ndiyomaana hata jambo la maana linapowekwa hadharani tunaona kama halituhusu.

halituhusu vipi ikiwa anashindwa kulipa kodi ila pesa ya kumsomesha mwanae anayo?
hiyo kodi aliyogoma kulipa je angelipa huoni kama ingesaidia kujenga ,shule na zahanati pamoja na vifaa vyote vinavyotakiwa kutoa huduma, watoto wetu na sisi wenyewe tungesoma huko na kutibiwa.

na ndiyo maana watanzania wengi (siyo wote) wanamnyenyekea mtu yeyote tajiri pasipo kujuuliza je utajiri huo alionao kaupata kwa nia halali???, kuwa tajiri siyo tatizo ni heri na ni vizuri tatizo ni njia unazotumia kupata huo utajiri.

tungekuwa na uelewa wa kutosha nina uhakika hawa tunaowaita mafisadi na ushahidi kama tunao.nina uhakika tungekuwa tumeshachukua hatua ya vitendo kwa kuwaadhibu na kuchukua mali zao, lakin kwa vile kazi yetu ni kulalamika tu pasipo kuchukua hatua ya vitendo hakuna tunachokifanya. Hata pale wenzetu baadhi wanapofanya jitihada za kuonesha uozo wa wao mafisadi tunawakatisha tamaa na kuwaita eti wanoko/wambeya.

tangu tumeanza kuwasikia hawa mafisadi ebu nambia kama watanzania tumeweza kuchukua hatua gani??,
wanatuletea wanayoita misaada mitaani,vijijini mwetu tunaipokea tena kwa kuwa mwagia sifa nyingi.
inakuwaje watu (mafisadi) wasiozidi 20 waweze kutushinda nguvu mamilion ya watu safi.
watanzania kwa ujumla we,are not serious kupingana,kuutokomeza ufisadi nchini mwetu. Ndiyo maana kila habari tunaiona kama ni uongo,umbeya, badala ya kuifanyia utafiti na kuichukulia hatua..so siri inaniuma kupita kiasi.
Shukra mkuu ujumbe wako utawafikia waTZ wa kutosha waliolala usingizi fofofo ambao kuamka kwake mpaka Yesu arudi
 
issue hapa ni ufisadi..........hakuna uzalishaji nchi hii wa kuwa na matumizi kufuru namna hiyo.................
 
Very guuud

Atakuwa anapata elimu nzuri aje kusadia TAIFA LAKE TAnzania

Usituongezee mafisadi plz...hawa bado hatujawang'oa wewe unataka aje na huyu mtoto wa nyoka.......................
 
No wonder kuna Mdosi mmoja alishawahi kusema kuwa "Swahili jinga kabisa... Nakula pesa yae yenyewe nacheka tu" hivi kweli how do you get aand spend all these money? Hatuna shida na shule ya huyu binti hapa najaribu kuwapa picha ni jinsi gani mtu haoni uchungu kuspend hela za bureee bila hata huruma...

Mkuu haya mambo yanawezekana Tanzania. Lakini kwa nchi zilizoendelea, kiongozi akimpeleka mtoto wake kwenda kusona kwenye private school, badala ya public school ambazo zipo kwa ajili ya wate, ni kashfa.

Ruth Kelly named as Labour minister sending a child to private school | News
 
attachment.php

Binti wa Rostam Aziz
Ama kweli ukila na kipofu usimshike mkono, fisadi namba moja nchini kwa kweli anafaida sana hela zetu walala hoi maana binti yake anasoma shule moja binafsi na ghali sana huko Swiss amabapo ada yake kwa mwaka ni dola 200,000 na yupo O-level hebu fikiria kwa miaka minne RA atatumi kama dola 1m ghama jumla ya gharama ya kusomesha binti yake huyo. Shule yenyewe inaitwa Le Rosey ni miongoni mwa shule ghali duniani na hata ukiangali kwenye mtandao wa Forbes shule ghali sana kwa amerika wanalipa around 50,000-80,000US$ kwa mwaka sasa hiii ya Swiss ni mara tatu yake kweli fedha ya ufisadi ni tamu sana....
attachment.php

Binti mwingine wa Rostam anayesoma South Africa Ramla Rostam Aziz...

Soma attached PDF hapo for Academic fees and other associated costs in Swiss Franc

Weka ushahidi kuonyesha huyo msichana ni mtoto wa Rostam Aziz na kweli anasoma hiyo shule.
 
Weka ushahidi kuonyesha huyo msichana ni mtoto wa Rostam Aziz na kweli anasoma hiyo shule.

This is not personal attack na I'm very sorry kama ikionekana hivyo kwa kuwa nia haikuwa hiyo. Mimi nadhani and this is my very honest opinion kwamba tuwe makini sana tunapochagua avatar. Bado halijathibitishwa hili kisayansi kwa kuwa studies hazijafanyika bado lakini kuna link kubwa sana kati ya yale tunayocomment na avatars zetu. Niko mbioni kuifanya hii study niko busy kwasasa natafuta funds.
 
This is not personal attack na I'm very sorry kama ikionekana hivyo kwa kuwa nia haikuwa hiyo. Mimi nadhani and this is my very honest opinion kwamba tuwe makini sana tunapochagua avatar. Bado halijathibitishwa hili kisayansi kwa kuwa studies hazijafanyika bado lakini kuna link kubwa sana kati ya yale tunayocomment na avatars zetu. Niko mbioni kuifanya hii study niko busy kwasasa natafuta funds.
YEah sure mkulu
 
Nawashangaa watu mnachokonoa maisha ya watu badala ya nyie kutafuta hela muwasomeshe watoto wenu shule za bei gali!!

Mi kila nikipiga dili za magumashi zinajamba
Hongera mzazi kwa kumsomesha mtoto shule nzuri
Huyu miaka ijayo akirudi bongo hakosi uwaziri hata ubunge wa viti maalumu.
 
Sijaelewa huyu alieandika RA anamiliki Clouds Fm, hizi habari sijui ameziokota wapi?
 
A/ Registration fee and guarantee deposit
One-time registration fee: CHF 2,000 (student file, entrance
examinations, visits, etc).
Guarantee deposit for extra expenses: CHF 7,000 (reimbursed at
the end of the term following the student’s departure from the
school).
B/ Annual boarding and academic fees
The annual boarding and academic fees are CHF 94,500 payable in
two instalments:
• the payment of CHF 63,000 for the first two terms is due no later
than 31 st May 2011
• the payment of CHF 31,500 for the third term is due no later
than 31st January 2012.
Invoices for extra charges are sent three times per year and are
payable within 30 days of issue; details can be found on the Internet.
If an invoice is not contested within 30 days, it will be considered as
having been approved.
In the case of late payment of either school fees or extra charges,
Le Rosey reserves the right to contract a company of its choice to
undertake debt collection. The costs involved will be assumed by the
debtor concerned.

Other services charged separately:
• annual charges for classes 1 and t in the International
Baccalaureate section: CHF 7,300 (covering administration,
diploma matriculation and CAS activity costs)
• annual charges for classes 1 and T in the French Baccalaureate
section: CHF 1,800 (covering matriculation, external moderation
of mock exams, regular in-depth tests, project work, orals and
transport to examination centres)
• annual charges for private music lessons (1 lesson per week):
CHF 3,400
• annual charges for an extra-curricular language* as an integral
part of preparation for the International Baccalaureate (Cl.3
to T): CHF 5,400 (4 periods/week) and CHF 7,900 (6 periods/
week).

F/ Contractual financial conditions
• If a student is expelled from the school or if a student is
withdrawn by the parents from the school during the course of
the term, both the fees for that term along with those for the
following term are payable to Le Rosey.
• During the course of a term, should a student be withdrawn from
Le Rosey with the consent of both the parents and Le Rosey, only
fees for that term are due.
• Le Rosey students may only carry upon their person the amount
of weekly pocket money assigned to them. Any other money
given to the student should be handed to the boarding house
director for safe keeping.
• No valuable objects should be brought on campus. Le Rosey
is not responsible for providing students with insurance cover
against theft.
• Personal effects are insured against fire and water damage up to
a maximum amount of CHF 15,000.

Jumlisha hapo na piga mwenyewe mahesabu ni pesa kiasi gani za madafu (1 Swiss franc (CHF) = TZS 1658)
Registartion fee(2000) + Annual boarding and Academic fees(94,500) + Other service charges(17,900) = TOTAL( CHF 114,400), equiv $127,207

Hiyo pesa ni nyingi sana.Hata Eton na Harrow ambayo inapeleka wanafunzi wengi Oxbridge awa charge hivyo! Labda kwa sababu Swiss ni tax haven.
 
Registartion fee(2000) + Annual boarding and Academic fees(94,500) + Other service charges(17,900) = TOTAL( CHF 114,400), equiv $127,207

Hiyo pesa ni nyingi sana.Hata Eton na Harrow ambayo inapeleka wanafunzi wengi Oxbridge awa charge hivyo! Labda kwa sababu Swiss ni tax haven.
The best private and expensive schools in UK and US are at maximum of 80G per annum sasa huyu Mtanzania anayefuja mali ya uma anatumia hela zote hizo for one kid education je for 4 kids inakuwaje, haya baba tafuna hela ya waliolala fofofo?
 
It does not matter...

Rostam ana-play role ya U-Baba and there is nothing wrong with that!

Kuna wengine hapa hapa Dar es Salaam wanasomesha watoto wao Shule moja ipo karibu na Mbuyuni au nyingine Masaki au nyingine Isamilo Mwanza and on avarage ada ya hizo shule kwa mwaka (jumla kuu) ni kama TZS 8mil! and yet kuna wengine wanasomesha watoto wao Ununio Primary School ambayo ada kwa Mwaka ni TZS 20,000! See??

Nawatakia mafanikio mema hao mabinti wa Rustom Aziz...
 
Na baada ya muda mfupi atakuwa ni waziri wa mambo fulani au ni gavana wa benki kuu. waache watumalize sisi wakulima, but one day yes.
 
Na baada ya muda mfupi atakuwa ni waziri wa mambo fulani au ni gavana wa benki kuu. waache watumalize sisi wakulima, but one day yes.

hiyo one day yes sijui kama itafika, kila siku one day yes, why not today yes
 
Back
Top Bottom