Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Baba yake katoa ajira kwa watanzania
Vodacom, caspian clouds fm, etc
Ama kweli atakuja kuleta maendeleo,hahaaaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba yake katoa ajira kwa watanzania
Vodacom, caspian clouds fm, etc
Sijajua huyo mtoto atafanya kazi wapi ila najua kwa tanzania No!, Hiyo hela anayoinvest itamchukua Karne kurudisha,
Asante sana Mdau
Vidempa wa Rostam ni wengi kweli kweli humu JF, twafaaaa!!!!!!!!!!!!Kwani mtu kutumia hela zake kumsomesha mwanaye kuna shida gani?
Hao jamaa wamechelewa chama kimeshikwa na kina vijisenti, watoto wao wanaporomosha maghorofa na kununua majumba kwenye miji mikuu hapa Tanzania na miji ya ulaya. Sasa watawatupa watoto, maana kizazi cha nyoka ni majoka tuu, wadanganye wajinga lakini Watanzania wameelevuka bwana. Wote akili yao ni kusema uongo tu ili waendelee kututawala ili wazidi kujitajirisha!!!!!!!!!!Issue ni image ya chama.
Wakati kina Mukama wanateuliwa majuzi walitoa hotuba nzito nzito, kina Chiligati na Mnauye na Kikwete etc. Common thread ya ujumbe wao ilikuwa wanataka CCM kirudi kuwa "chama cha wanyonge." Wakati wanajenga CCM, tokea TANU, tokea TAA, tokea Uhuru, Watanganyika, weusi walikuwa karibu wote masikini, wote, wakajiita wanyonge. Image ya chama cha wanyonge ndio iliyojenga chama nchi nzima kwa sababu kilionekana chama kinacho akisi picha ya Watanganyika, sasa wanasema wanataka kurudi huko.
Kumbe wanyonge wa CCM ni watu tofauti, hakuna shule ya sekondari Igunga, Tabora inayomtosha mtoto wa mbunge, hakuna shule Tanzania, hakuna sekondari Afrika inayomtosha mtoto wa kiongozi wa CCM, hakuna shule ya kawaida UK, Uswisi n.k. bali mtoto wa mbunge anasoma shule ambayo hata Malia na Sasha, watoto wa Rais wa mabepari wa Marekani hawawezi kusoma, hicho ni chama cha wanyonge?
Chama cha Mapinduzi kinajiuza kama chama cha watu wasiopenda kujilimbikizia mali. Basi angalau wangejilimbikizia mali halali. Mali za wizi. Wanajenga image ya chama kiongo na kinafiki. Mnyonge anaidai nchi umeme wake?
Very guuud
Atakuwa anapata elimu nzuri aje kusadia TAIFA LAKE TAnzania
Unaamini Mtoto atasaidia Taifa i hali sifa ya Baba yake unaiona dhahiri kwa watanzania!!!
Baba yake katoa ajira kwa watanzania
Vodacom, caspian clouds fm, etc
wazee kashori inaonekana katamu kweri kweri......afu kama bikira vile....