Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
5,771
Reaction score
17,849
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.

Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.

Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
 
IMG-20201215-WA0010.jpg

Picha yake
 
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha. Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki. Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
Mchagga mjanja kachungulia fursa
 
Back
Top Bottom