Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

Ninyi wa mpiga ramli kaja kusambaza ramli sio!?
 
Bia n whisky za kutosha tumeandaa,wageni kutoka naija wameanza kuingia jana
 
Huyu muoaji namjua kwao mambo safi,wala hawana njaa..babake na mamake huwa wanafuatana kama Chai na sukari ibadani, kila MTU anavutiwa nao kwakweli ile ndoa kwa nje ni mfano sijajua kwa ndani ,wako Ungalimited Arusha parokia ya moyo safi wa maria huyu mama anakuwa kama ana asili Fulani au alichanganya damu ya kizungu ni mweupe pee anatupia viwalo balaa mke ya Rais weka pembeni...kuna na binti yao ni kisu hatare yaani wale wa kuogopwa...Mama ni mwekahazina wa parokia....huyo mama aliyevaa kofia ya malkia Elizabeth ndio mama wa kijana baba wa kijana huyo ambaye hajavaa suti nyeusi kwenye cake acheni wivu jamaa yuko njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…