Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Commentams haziwezi kuwa za kistaarabu kwenye kujadili maumbile ya binti yako.Naomba Comments ziwe za kistaarabu tu..
Halafu kama mzazi unawezaje kuthubutu kumjadili binti yako namna hii?
Au wewe ndiye binti mwenyewe unayejishitukia maumbile?
Watu wanahusudu manyonyo makubwa na wanaenda hosipitalini kufanya upasuaji na kuyaongeza, iweje wewe uanzishe mjadala wa maumbile ya mwenyezi Mungu?
Ulitaka binti yako awe na manyonyo madogo madogo ili iweje😆😆😆😆😆!
Hii dunia hii, kila kukicha kunazalishwa vituko vipya afadhali ya jana!