Binti yangu yupo darasa la 6 tu lakini maziwa yameshalala na yanaendelea kukua kwa kasi ya ajabu!

weeeee sina madogo ninayo makubwa tena tayari ndala ila natamani yaongezeke ukubwa kidogo yaendane na mwili wanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Je

Anaongezeka mbele, nyuma anakonda au anaongezeka mbele tu?

Nipe majibu nami nikupe ushauri mkuu.
 
Mkuu umepata wapi ujasiri wa kumchunguza binti haya mambo yote? Achana na mtoto wa kike aisee,me huwa sihangaiki kabisa na binti yangu.Ila miongozo ya maisha nimempa
Kila mmoja na utaratibu wake na familia yake.
 
Samahani mdau Ila sikuoni Kama baba Bora kabisa.
watoto wa kike huwa wanajengeka vyema hasa kwa kujiamini wanapokua karibu zaidi na wazazi wao wa kiume
Tuseme nao na kujibu maswali yao ili kuwanusuru na mwalimu dunia.
 
Mlete tuyainue ya we saa machanga kabisa afu itakua kuna kiumbe muharibifu anayanyonya hayo
 
Unataka usaidie nini kwenye uumbaji wa aliye juu?
 
Pole sana mkuu, pia hongera kwa kulieliza hili hapa jukwaani. Mlee binti kwa maadili mazuri. Maadili yatambeba sana na kuwa binti bora na mwenye kupendwa. Maumbile ni mipango wa Mungu mwenyewe..
 
Sawasawa..
 
weeeee sina madogo ninayo makubwa tena tayari ndala ila natamani yaongezeke ukubwa kidogo yaendane na mwili wanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hayo hayo yanatosha, kwani huwa hupendezi ukitia pamba?
 
Achana na hayo mambo, fanya mambo mengine...
 
Angalia na umri wa mtoto, lazima kuna kitu hakiko sawa na tambua bullying inaharibu sana saikolojia ya mtoto. Acha ujuaji
Kwahiyo Mkuu tufanye Nimeacha ujuaji fine JE MATITI "KULALA NI ULEMAVU?"


USIWE UNASOMA KWA KUKURUPUKA NIMEMUULIZA MATITI KULALA NI ULEMAVU? WE UNAKURUPUKA KUJIBU!
 
Mkuu pole kwa kuwaza uwazayo,

Kama unafikiria huo ni udhaifu utakujs kushangaa huo ndio uimara wake(your weakness sometimes is your strenght)

Kwani huoni mbirikimo wanavyopiga hela kwenye maigizo?je ni wamewezaje?

Usifikirie vitu ambavyo havijatokea,muache yeye afikirie atakavyojichukulia.
 
Kwahiyo Mkuu tufanye Nimeacha ujuaji fine JE MATITI "KULALA NI ULEMAVU?"


USIWE UNASOMA KWA KUKURUPUKA NIMEMUULIZA MATITI KULALA NI ULEMAVU? WE UNAKURUPUKA KUJIBU!
Mkuu kwa umri huo kama yamelala ina maana kuna kitu hakiko sawa na huyo binti, kama mmetumia jina la ulemavu au jingine lolote haitobadilisha ukweli kuwa anahitaji kuwaona madaktari (soma komenti namba 5). Jitahidi kuepuka mihemuko mkuu wewe ni GT na kama nimekukwaza niwie radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…