Mkuu nimegoogle,sikuelewa vizuri.Nimeona nije kwa wanajamvi maana najua kwenye wengi Kuna mengi.Google is your bestfriend. Usipende kutafuniwa kila kitu.
Kama umeshindwa ielewa gugo mkuu bas hyo kitu unayotaka ifaham achana nayoMkuu nimegoogle,sikuelewa vizuri.Nimeona nije kwa wanajamvi maana najua kwenye wengi Kuna mengi.
Asante mkuu.Kama alivyoeleza mdau hapo juu, inahusika sana na ufundi wa hasa marekebisho ya vifaa mbali mbali za kimatibabu hususan vya mahospitalini.
Ila kwa experience tu ajira zake ni nadra sana hususan serkalin mara nyingi wanaajiriwa halmashaur za miji na ni wachache mno, point is ajira ni tight kwa hii koz,
So kama umefaulu vzur kwa michepuo ya sayansi cheki tu kozi zingine za afya kama Pharmacy, Medical lab au Radiology ambazo pia unaweza kujiajir ila kwa hii kozi haitoi nafasi ya kujiajir moja kwa moja.
#Cha kushaur tafuta ustaarabu mwingine usipagawe na jina zuri la hiyo kozi!
KOZI YA YA UHANDISI WA VIFAA TIBAMwenye uelewa wa kozi tajwa hapo juu naomba anipe ufafanuzi.
Hii kozi inahusiana na nini?
Ili uweze kusoma hii kozi unatakiwa usome mchepuo upi?
Ukisoma hii kozi unafanya kazi gani na wapi?
Je unaweza kujiajiri kupitia hii kozi?
Karibuni kwa ufafanuzi.