Biomedical engineering ni nini?

Biomedical engineering ni nini?

rude Boi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2021
Posts
333
Reaction score
632
Mwenye uelewa wa kozi tajwa hapo juu naomba anipe ufafanuzi.
Hii kozi inahusiana na nini?
Ili uweze kusoma hii kozi unatakiwa usome mchepuo upi?
Ukisoma hii kozi unafanya kazi gani na wapi?
Je unaweza kujiajiri kupitia hii kozi?
Karibuni kwa ufafanuzi.
 
Kama alivyoeleza mdau hapo juu, inahusika sana na ufundi wa hasa marekebisho ya vifaa mbali mbali za kimatibabu hususan vya mahospitalini.

Ila kwa experience tu ajira zake ni nadra sana hususan serkalin mara nyingi wanaajiriwa halmashaur za miji na ni wachache mno, point is ajira ni tight kwa hii koz,

So kama umefaulu vzur kwa michepuo ya sayansi cheki tu kozi zingine za afya kama Pharmacy, Medical lab au Radiology ambazo pia unaweza kujiajir ila kwa hii kozi haitoi nafasi ya kujiajir moja kwa moja.

#Cha kushaur tafuta ustaarabu mwingine usipagawe na jina zuri la hiyo kozi!
 
Asante mkuu.
 
Hio kozi ni pana sana, na haihusiani moja kwa moja na ufundi wa vifaa tiba...
Lakini kwa kuwa bongo hakuna makampuni makubwa kama GE Healthcare, Philips Healthcare, Siemens Healthneers, au Canon Healthcare na sasa Samsung Healthcare..
Itabidi tu ukawe fundi wa vifaa tiba, lakini ukijiendeleza kwa masomo na kufanya vizuri kupata scholarship....utakuwa sio fundi wa vifaa tiba....utakuwa unagundua vifaa tiba kwenye makampuni makubwa tu
Angalia Uganda wanavyojituma na kusinda katika medani za kimataifa...

Mwenye uelewa wa kozi tajwa hapo juu naomba anipe ufafanuzi.
Hii kozi inahusiana na nini?
Ili uweze kusoma hii kozi unatakiwa usome mchepuo upi?
Ukisoma hii kozi unafanya kazi gani na wapi?
Je unaweza kujiajiri kupitia hii kozi?
Karibuni kwa ufafanuzi.
KOZI YA YA UHANDISI WA VIFAA TIBA

CT SCAN, X RAY, INCUBATOR, DIALYSIS MACHINE, AIR VENTILARORS N.K
 
Back
Top Bottom