Birthday girl

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha Mimi nimeshajipanga eti..hahaha..ila naomba kujua hayo unayohifadhi ya kazi gani?
Kumbukumbu tu jamani


Kwani nyie mnatumaga kwa jamaa machuchu kwa kazi gani?!kishasema ana album nzima muwe makini mm natunza kumbukumbu zenu
 
Kumbukumbu tu jamani


Kwani nyie mnatumaga kwa jamaa machuchu kwa kazi gani?!kishasema ana album nzima muwe makini mm natunza kumbukumbu zenu
Hahahaha uzuri sijawahi tuna machuchu

Sawa mtunza kumbukumbu
 
Eti picha za kudownload...mimi najua yale machuchu ya Mbiti tu,sasa lile li-nandy nalo anataka kulikana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…