Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko

Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
5.JPG Dogo kafanya matusi makubwa, Wema alihudhuria, inadaiwea ndiye aliyemgharamia vitu kibao, wanawake wa mjini wale wanapenda sifa wote walikuwepo, jamani dogo atawamaliza au ndude yake ita-expire mapema.
 
Mnh Makubwa, ila mama yake kesha pona.
 
Mnh Makubwa, ila mama yake kesha pona?
 
View attachment 67003 Wema & Diamond kwenye pati hiyo.

Huyu dada kwa kuforce mambo ndo mwenyewe.
Nilishuhudia clouds tv wakionyesha show ya fiesta ambapo kabla ya diamond kupanda jukwaani huyu dada alikamata kipaza na kuwaomba mashabiki watamke jila la WEMA wakati diamond atakapokuja kuimba nyimbo yake ya NIMPENDE NANI.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mkuu simba mkali wewe ndio dayamondi ehhhh..
habari hii ina tija gani hapa JF
 
mkuu simba mkali wewe ndio dayamondi ehhhh..
habari hii ina tija gani hapa JF
Jamini ni Celebrity waKibongo au nimekosea na kuweaka sehemu isiyohusika? kama ndiyo hivyo naomba radhi waungwana kama nimewakera.
 
Jamini ni Celebrity waKibongo au nimekosea na kuweaka sehemu isiyohusika? kama ndiyo hivyo naomba radhi waungwana kama nimewakera.

ukiboko wa hiyo "bath" day uko wapi?? nadhani ndio watu wanahitaji.
 
ukiboko wa hiyo "bath" day uko wapi?? nadhani ndio watu wanahitaji.
Pole! Nimeweka picha chache lakini kuna picha nyingi na maelezo ambayo zinaonesha huo ukiboko, nimesema kwa uchache nimeonekana nampigia debe, sasa ningeleleza kila kitu kilivyokuwa ingekuwaje, nilijua kuna wakuu humu ndani watakuwa wanajua kilchotokea na kuchangia kwa undani zaidi.
 
kwani kulitokea nini cha ajabu mkuu,embu tujuze???
 
kwani kulitokea nini cha ajabu mkuu,embu tujuze???

Diamdon 8.JPGView attachment 67054Diamond 1.JPGDiamond 2.JPGDiamond 3.JPGDiamond 5.jpgDiamond 6.JPGDiamond 7.JPGDiamond 8.JPGDiamond 2.JPG Nadhani hizi ni baadhi ya picha zinazoweza kusema, lakini kwa kifupi tu watu waliogelea kunywa na kusaza, Wema alileta keki na pia Jokate alilileta keki lakini hakufika. vijana walistarehe vya kutosha
 
dimond kuna watu anawalipa humu... si buree
Subili baada ya siku 3 utasikia Diamond kila show analipwa millioni 10 na anafanya show 3 kwa wiki, kwahiyo kila wiki anakunja millioni 30!! upambe mwingine hauna kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom