Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

Ni Bora viongozi wa ccm na serikali mngejuzuia kuweka hadharani Raha na fahari zenu maana tunaishi au mnaishi Dunia tofauti na watanzania wengine nyie mna shibe wao wana njaa nyie mna amani wao wanatekwa. Mkumbuke a hungry man is an angry man.
 
Inaonesha kuna chuki kubwa sana kati yetu.

Na mbaya zaidi wenye uwezo wakutatua hilo wakiwemo viongozi wa kiserikali,vyama vya siasa,dini n.k nao wamekuwa sehemu yakuikuza chuki hiyo.

Kuna maumivu makubwa sana kwenye mioyo wa watu wengi na wanaona hawasikilizwi.

Tunahitaji tiba kabla hatujafika pabaya.Tunapaswa tuheshimiane ili tupendane.

Kila mtu aione haki upande wake japo kwa 70% katika maisha yake.
 
Mshana rafiki tumepotezana. Sikuwa najua kuwa kwenye simu ya mkononi Naweza kuipata JF.
Kunani zaidi hapa TZ maana nilikuwa nje ya mawasiliano.
Salama kabisa kaka mkubwa! Kuna JF mobile version! Yaliyomo ni mengi mno! Na muda hautoshi.. Its a race against time! Am not sure it we will make it๐Ÿ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ