miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
usitie kabisamh! sitii neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usitie kabisamh! sitii neno
Wana hela nyingi na shughuli chacheKumbe birthday ni kitu muhimu kwa baadhi ya watu, mimi hata sikumbuki kama niliwahi kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa
Tope gani tena hilo.... Sisi wengine washambaanataka amwagiwe tope ha ahahaha nikukute unanimwagia tope
wanakoroga udongo wanakumwamgiaTope gani tena hilo.... Sisi wengine washamba
AHAA NIMEKUPATA KIASI.................
ILA HUJUI KM NAWEZA PIA KUSHEREHEKEA HYO B'DAY YANGU KWA KUTOA SADAKA AU KUWALISHA MASKINI AU KUFANYA LOLOTE JEMA. NA C LAZIMA NIPOTEZE PESA KM UNAVYOFIKIRIA.
haupaswi usheherekee kwa kutoa sadaka na kuwalisha masikini au kufanya lolote jema kumbuka Uislamu haufungamani na siku hiyo wala usisubiri hiyo siku ifike ndiyo ufanye mema bali unapaswa uyafanye hayo wakati wote wa maisha yako(yetu) nawewe nimeona sehemu umesema una (pesa) hivyo zitumie kwaajili ya mambo mema.AHAA NIMEKUPATA KIASI.................
ILA HUJUI KM NAWEZA PIA KUSHEREHEKEA HYO B'DAY YANGU KWA KUTOA SADAKA AU KUWALISHA MASKINI AU KUFANYA LOLOTE JEMA. NA C LAZIMA NIPOTEZE PESA KM UNAVYOFIKIRIA.
nikuulize swali dogo huenda ukaelewa ukinijibu hili basi utakuwa umeelewaKWA NN, LISIWE JAMBO JEMA,
COZ UNAPOTOKA MWAKA MMOJA KWENDA MWINGINE NI JAMBO KWANZA LA KUMSHUKURU MUNGU, COZ YE NDO ALIYEKUWEZESHA KUFIKA HUO MWAKA MWINGINE, KWAN WANGAPI WALITAMANI WAFIKE NA HAWAKUFIKA.
NI LAZIMA KUMSHUKURU MUNGU, SO UNATIMIZA MIAKA KADHAA KTK MAISHA YAKO NI VZR KUMSHURUKU MUNGU.
SO LINAPOKUJA SWALA LA SHEREHE INATEGEMEA, KILA MTU ANA NJIA YAKE YA KUSHEREHEKEA.
KABLA YA KUJIBU HAYO,nikuulize swali dogo huenda ukaelewa ukinijibu hili basi utakuwa umeelewa
1.ninini maana ya mfumo wa maisha ya kila siku kwa Muislamu?
2.nini maana ya kusherekea?
jiulize hayo maswali halafu mimi ninaomba unijibu kwa hili swali hapa chini?
unaweza kusheherekea sikukuu mfano, krismas au pasaka kwa kutoa sadaka, kutembelea wagonjwa, kulisha masikini ikiwa wewe ni Muislamu??
HYO NI STAILI YANGU, TAFUTA STAILI YAKO,
NA ULIFUNDISHWA NA NAN ETI UKITUMIA HERUFI KUBWA NDO KUKARIPIA.
AHAA WAZUNGU NDO WAMEKUFUNDISHA,
AHAA WAZUNGU NDO WAMEKUFUNDISHA,
HATA KIINGEREZA NI KM HUKIELEWI,
ALIYEKUFUNDISHA KAKUAMBIA....."is Like"
YE MWENYEWE HAJUI ILA ANAFANANISHA TU NA "Shouting".
Amesema Allaah سبحانه وتعالىKABLA YA KUJIBU HAYO,
NIPE AYA YA QURAN AU HADITH ILIYOKATAZA KUSHEREHEKEA HBD.
ALAF NITAKUJIBU.